Orodha ya Viongozi, Wanachama, Wananchi na Waandishi wa Habari waliokamatwa kwenye Maandamano ya CHADEMA

Orodha ya Viongozi, Wanachama, Wananchi na Waandishi wa Habari waliokamatwa kwenye Maandamano ya CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Orodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia.

Screenshot_2024-09-23-20-33-54-1.png
Screenshot_2024-09-23-20-34-03-1.png

Hii ni orodha ya viongozi, wanachama, wananchi na waandishi wa habari walioathirika na kushikiliwa na Jeshi la Polisi leo tarehe 23 Septemba, 2024.

  1. Mheshimiwa Freeman Mbowe - Mwenyekiti wa Chama Taifa
  2. Mheshimiwa Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti Bara
  3. Mheshimiwa Benson Kigaila-Naibu Katibu Mkuu Bara
  4. Mheshimiwa Godbless Lema - Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini
  5. Mheshimiwa Rhoda Kunchela - Mwenyekiti Mkoa wa Katavi
  6. Mheshimiwa Emmanuel Ntobi - Mwenyekiti Mkoa wa Shinyanga
  7. Mheshimiwa Aisha Madoga - Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa Dodoma
  8. Mheshimiwa Jerome Ulomi- Katibu Mkoa wa Ilala
  9. Dr.Lilian Mtei - Mke wa Freeman Mbowe
  10. Nicole Freeman Mbowe (Wakili) na mtoto wa Freeman Mbowe
  11. Rosse Mramba - Mwenyekiti Bavicha Kawe
  12. Josephine Lwambuka - M/hazina Bawacha Kawe
  13. Othman Makame - Mwenyezi Bavicha Kawe
  14. Noel Charles - Mwenyezi Goba
  15. Amani Mwakalinga - Mwenyezi Kinzudi
  16. Mary Isack - Mwenyekiti Bazecha Kwembe
  17. Deonis Kimaro - Kwembe
  18. Edward Mphuru - Mwenyezi Segerea
  19. Edward Zombe - Mwenyekiti Bazecha Segerea
  20. John Peter - Segerea
  21. Paul Msangi - Segerea
  22. Abed Mdegela - Mwenyezi Pascal Mudaa - Segerea
  23. Leila Asali - Segerea
  24. Savera Madale - Segerea
  25. Emanuela Andrew - Mwenyekiti wa Bavicha Kinondoni
  26. Leocadia Njau - Mwenyekiti wa Bavicha Kinondoni
Soma Pia:
 
Orodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia.

View attachment 3104670View attachment 3104671
NAJARIBU KUFIKIRI TU

Kwamba, suppose wamepelekwa mahakamani, tunadhani mashitaka/shitaka na makosa dhidi yao toka polisi yatakuwa ni nini hasa...?

Bila shaka yatakuwa:

1. Kukaidi amri halali ya polisi ya kutoandamana (Kwa mujibu wa Kamanda Muliro)

2. Na labda baadhi hasa viongozi wakuu, uchochezi yaani "eti wamewachochea watu kuandamana" (Hii pia ni Kwa mujibu wa Kamanda Muliro)

MASWALI:

#1. Je, kulikuwa na amri yoyote ya polisi iliyo - kaidiwa...?

#2. Hiyo amri ni halali kiasi gani kisheria na kikatiba?

#3. Ni halali kutii amri batili hata kama imetolewa na Polisi...?
-------------------------+-------------------+----
MASWALI MUHIMU YA ZIADA:
#1. Ni kwanini polisi na TISS wanaotuhumiwa kuhusika na uovu wote unaoendelea nchini utekaji na mauaji hawachunguzwi....?

#2. Hii nguvu ya kuzuia watu kupaza sauti zao kudai haki zetu na ya ndugu zetu ya kuishi (kulindwa uhai wao na serikali) lengo lake ni nini hasa kama siyo njia ya serikali kupitia Jeshi la Polisi kuficha uovu wake wa kuteka, kutesa na kuua watu...?

#3. Hii nguvu ya kuzuia haki za watu za kuelezea hisia zao iliyotumiwa na serikali kupitia Jeshi la Polisi wangeitumia kulinda watu wakitembea na kukutana walipopanga kukutana na kupaza sauti serikali na polisi wangepata hasara gani...?

Kusema kweli kabisa, HII SERIKALI NI YA WAJINGA NA WAPUMBAVU WATUPU KTK MAAMUZI YAO...!!!
 
John mnyika kajificha kanisani
John mrema kajifichs uvunguni
Nimempenda Nicole bin Mbowe,binti mrembo,jasiri na akili mingi nataka nimtolee posa
Una uhakika Nicole ni mrembo au mimi ndio sijui maana ya huu msamiati?
 
Senene wamefuata mwanga wa tochi.Chezea Mamlaka. Utakaa mvunguni mpaka ukome.
 
Wachaga waliokuja mjini kuzurura

Majina kibao na sakosi yao😂😂😂
Inawezekana kweli hiki chama ni cha wachaga, ila nilipoheabu watu 47 waliokamatwa nikakuta majina ya wachaga 8 tu nikakudharauu na hoja yako. Mimi ni ccm damu. Na tuna Kanuni zetu za chama zinasema nitasema kweli daima na uongo kwangu ni mwiko. Kwa kusema uongo huu, rudisha kadi yetu. Unaibagaza.
 
Back
Top Bottom