mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Leo nimeona sura ya Nicole, havutii kabisa, sijui kama atapata mume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimeona sura ya Nicole, havutii kabisa, sijui kama atapata mume
Anaweza kukuoa wewe na huo umaskini wako 😂😂Leo nimeona sura ya Nicole, havutii kabisa, sijui kama atapata mume
Kwenye hii list waongeze hakina Soka, Boni nkOrodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia.
View attachment 3104670View attachment 3104671
Kutolewa mpaka upite uchaguzi wa Serikali za mitaa.Orodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia.
View attachment 3104670View attachment 3104671
Mama yako havutii lakini alipigwa machine ukaletwa wewe kichwa maji usiye na busaraLeo nimeona sura ya Nicole, havutii kabisa, sijui kama atapata mume
Hii ni sehemu muhimu, chama kisiipuuze. Kila mchangia jasho ni haki yake jasho litambulike hivyo. Watu wana changia hadi damu lakini hawatambuilwi, hayo ni makosa.Orodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia.
View attachment 3104670View attachment 3104671
Mambo mengine ni aibu mbele ya macho ya KimataifaOrodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia.
Hii ni orodha ya viongozi, wanachama, wananchi na waandishi wa habari walioathirika na kushikiliwa na Jeshi la Polisi leo tarehe 23 Septemba, 2024.
Soma Pia:
- Mheshimiwa Freeman Mbowe - Mwenyekiti wa Chama Taifa
- Mheshimiwa Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti Bara
- Mheshimiwa Benson Kigaila-Naibu Katibu Mkuu Bara
- Mheshimiwa Godbless Lema - Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini
- Mheshimiwa Rhoda Kunchela - Mwenyekiti Mkoa wa Katavi
- Mheshimiwa Emmanuel Ntobi - Mwenyekiti Mkoa wa Shinyanga
- Mheshimiwa Aisha Madoga - Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa Dodoma
- Mheshimiwa Jerome Ulomi- Katibu Mkoa wa Ilala
- Dr.Lilian Mtei - Mke wa Freeman Mbowe
- Nicole Freeman Mbowe (Wakili) na mtoto wa Freeman Mbowe
- Rosse Mramba - Mwenyekiti Bavicha Kawe
- Josephine Lwambuka - M/hazina Bawacha Kawe
- Othman Makame - Mwenyezi Bavicha Kawe
- Noel Charles - Mwenyezi Goba
- Amani Mwakalinga - Mwenyezi Kinzudi
- Mary Isack - Mwenyekiti Bazecha Kwembe
- Deonis Kimaro - Kwembe
- Edward Mphuru - Mwenyezi Segerea
- Edward Zombe - Mwenyekiti Bazecha Segerea
- John Peter - Segerea
- Paul Msangi - Segerea
- Abed Mdegela - Mwenyezi Pascal Mudaa - Segerea
- Leila Asali - Segerea
- Savera Madale - Segerea
- Emanuela Andrew - Mwenyekiti wa Bavicha Kinondoni
- Leocadia Njau - Mwenyekiti wa Bavicha Kinondoni
Mno!Mambo mengine ni aibu mbele ya macho ya Kimataifa