Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa marufuku na TBS nchini - Mwaka 2026

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
753
Reaction score
1,699
Hii hapa orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku na shirika pa Viwango Tanzania (TBS). Orodha hii inataja jina la bidhaa na kiambata chanzo cha kupigwa Marufuku!

Pia soma https://www.jamiiforums.com/threads/orodha-ya-vipodozi-vilivyopigwa-marufuku-tanzania.1976930/

Kipako chako kipo kwenye orodha au kimenusurika?

1000366824.jpeg
Hii ndio orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku na shirika pa Viwango Tanzania (TBS).Orodha hi.jpg
Hii ndio orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku na shirika pa Viwango Tanzania (TBS).Orodha ...jpg

kwenye list yote hiyo hakuna product yoyote ninayoijua au ambayo nishawahi kuiona. Kweli ninaishi vijijini ndani ndani
 
Hii hapa orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku na shirika pa Viwango Tanzania (TBS). Orodha hii inataja jina la bidhaa na kiambata chanzo cha kupigwa Marufuku!

Pia soma https://www.jamiiforums.com/threads/orodha-ya-vipodozi-vilivyopigwa-marufuku-tanzania.1976930/

Kipako chako kipo kwenye orodha au kimenusurika?

Ina Maana hayo makampuni yoote kutoka huko Ulaya wenye Uwezo woote wa kutambua na kulinda afya za watu wao Sisi Tu Tanzania ndio tumeiona zina athari? Sio wivu kweli huu?
 
Umejuaje kama zimetoka ulaya? Bongo hii
 
Afadhari Coco Pulp haipo. Uwiiiih
😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: ---
Back
Top Bottom