Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Ina Maana hayo makampuni yoote kutoka huko Ulaya wenye Uwezo woote wa kutambua na kulinda afya za watu wao Sisi Tu Tanzania ndio tumeiona zina athari? Sio wivu kweli huu?Hii hapa orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku na shirika pa Viwango Tanzania (TBS). Orodha hii inataja jina la bidhaa na kiambata chanzo cha kupigwa Marufuku!
Pia soma https://www.jamiiforums.com/threads/orodha-ya-vipodozi-vilivyopigwa-marufuku-tanzania.1976930/
Kipako chako kipo kwenye orodha au kimenusurika?
Umejuaje kama zimetoka ulaya? Bongo hiiIna Maana hayo makampuni yoote kutoka huko Ulaya wenye Uwezo woote wa kutambua na kulinda afya za watu wao Sisi Tu Tanzania ndio tumeiona zina athari? Sio wivu kweli huu?
πππSisi wa Rinju naona tumesalimika