ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
- Thread starter
-
- #21
kwanza ni maoni yako au kuna chanzo chochote ambacho umecite from it hii orodha?
kama una chanzo(source) kiweke hapa.
maanaa hiyo mzumbe na law nimeshikwa na mshtuko kidogo ndo maana nikakuuliza.law ya miaka mitatu kwa ngazi ya shahada ya kwanza?na yenye mwalimu profesa mmoja tuu kwenye faculty?ndo iishide law ya UDSM&SAUT..
WE DOGO UNA MZIMU UNAKUSUMBUA.TAFUTA TIBA KWA MANYAUNYAU
Endeleeni kuweka orodha ya vyuo bora, huku salary slip za watu zinasoma fresh tu.....
sijaelewa swali lako hata punje...
Watu wanasoma masters nakuendelea kwaajili ya Exposure, mtu aliesoma masters ana chance nyingi anazoweza kukubalika, vivyo hivyo kwenye ubora wa vyuo, kunabaadhi ya watu/makampuni huajili watu kulingana na aina ya chuo alicho soma, mfano makampuni yanayo ajiri wanasheria tangazo lao utakuta limeandikwa "Tunahitaji mtu mwenye bachela ya sheria kutoka chuo kikuu cha dar es salaam" hii inamaana gani kwa watu waliosoma vyuo vingine?
Wakati mwingine ni vema kuangalia ubora wa elimu unaotolewa katika chuo husika, sio kwaajili ya mshahara pekee bali pia na exposure yako binafsi.
Ifuatayo ni orodha ya vyuo na kozi wanazotoa UDSM>LAW,ENGINEERING,ACCOUNTING MZUMBE>LAW,ACCOUNTING ,HUMAN RESOURCE TIA>ACCOUNTING DIT>ENGINEERING SUA>Veternary medicine,agriculture engineering,agronomy,water resource and irrigation engineering IFM>Banking&finance
Jamani samahanini kwa kuwa nje ya mada,naombeni msaada wa kujua SECOND CLASS ni GPA ya ngapi?
mkuu wala usihangaike nae coz haelewi hata anachokiongeleaa, anabwabwaja tu, point zake wala hazina mashikoo! haijui vzr ARU
weka link moja tu ya tangazo la kazi linalohitaji mtu kutoa chuo flani na kikatajwa jina
weka hapa
NAFASI ZA KAZI SERIKALINI MWISHO 10/12/2013weka link moja tu ya tangazo la kazi linalohitaji mtu kutoa chuo flani na kikatajwa jina
weka hapa
Mfano tangazo hili NAFASI ZA KAZI SERIKALINI MWISHO 10/12/2013Matangazo ya kazi za kilimo kutoka utumishi mbona huwa wanataja SUA.