Orodha ya vyuo bora na kozi wanazotoa

Orodha ya vyuo bora na kozi wanazotoa

kwanza ni maoni yako au kuna chanzo chochote ambacho umecite from it hii orodha?
kama una chanzo(source) kiweke hapa.
maanaa hiyo mzumbe na law nimeshikwa na mshtuko kidogo ndo maana nikakuuliza.law ya miaka mitatu kwa ngazi ya shahada ya kwanza?na yenye mwalimu profesa mmoja tuu kwenye faculty?ndo iishide law ya UDSM&SAUT..
WE DOGO UNA MZIMU UNAKUSUMBUA.TAFUTA TIBA KWA MANYAUNYAU

Hahahah LAW ya SAUT ndio mbovu kabisaaa inachukua mpaka iii.17/16 uje ufananishe na law ya mzumbe ya one tupu??? yani hata chuo kiwe na maprofesa 1000 wa law kama wanafunzi wanaochukuliwa ni wabovu hakuna cha maana! hebu pambanisha saut LL,B wanchukua mpaka iii.17 MZUMBE I.9 !
 
Endeleeni kuweka orodha ya vyuo bora, huku salary slip za watu zinasoma fresh tu.....

Umeona eeh Wenzao wanashindanisha salary slip bora wao wako busy na vyuo any way sio kosa lao bado wsko chuo wakimaliza wataacha ndo watajua ajira ni chuo au vipi.
 
sijaelewa swali lako hata punje...

Watu wanasoma masters nakuendelea kwaajili ya Exposure, mtu aliesoma masters ana chance nyingi anazoweza kukubalika, vivyo hivyo kwenye ubora wa vyuo, kunabaadhi ya watu/makampuni huajili watu kulingana na aina ya chuo alicho soma, mfano makampuni yanayo ajiri wanasheria tangazo lao utakuta limeandikwa "Tunahitaji mtu mwenye bachela ya sheria kutoka chuo kikuu cha dar es salaam" hii inamaana gani kwa watu waliosoma vyuo vingine?

Wakati mwingine ni vema kuangalia ubora wa elimu unaotolewa katika chuo husika, sio kwaajili ya mshahara pekee bali pia na exposure yako binafsi.
 
Watu wanasoma masters nakuendelea kwaajili ya Exposure, mtu aliesoma masters ana chance nyingi anazoweza kukubalika, vivyo hivyo kwenye ubora wa vyuo, kunabaadhi ya watu/makampuni huajili watu kulingana na aina ya chuo alicho soma, mfano makampuni yanayo ajiri wanasheria tangazo lao utakuta limeandikwa "Tunahitaji mtu mwenye bachela ya sheria kutoka chuo kikuu cha dar es salaam" hii inamaana gani kwa watu waliosoma vyuo vingine?

Wakati mwingine ni vema kuangalia ubora wa elimu unaotolewa katika chuo husika, sio kwaajili ya mshahara pekee bali pia na exposure yako binafsi.

weka link moja tu ya tangazo la kazi linalohitaji mtu kutoa chuo flani na kikatajwa jina
weka hapa
 
Kuna kishindano cha zain challenge kilikuwa kinaendeshwa ITV , ni kishindano kidogo tu lakini wabongo walikuwa patupu , sikuwah kuona mtz au student from tz Yuko pale au Kafka mbali , ,, niliona wakenya Wengi sana pale... Hii inatoa taswira ya wanafunzi na aina za vyuo tulivyonavyo (tukubali tukatae sis I bado sana Hamna cha saut , ud , mzumbe wala nn) elimu yetu ni ileile ambayo haiwezi kuvuka mipaka , tunakariri sana , mazingira magumu honestly dunia ya sasa hivi unakuta mwanafunzi anachukua degree Hana hata computer (wengine ni coz of umaskini ) Walio nazo hawajui kuzitumia , wonderful enough internet zeta za vyuo ni headache (Hamna wireless za uhakika na hapa ni kwa vyuo vyote nchini ) sasa huwa nashangaa vyuo vikuu vimejaa majengo tu na wanafunzi kibao walimu Wengi ni tutors ndo wanapiga mzigo (Hawa huwa wanakaririsha Kama elimu yetu ya advance maana exposure Hawana achilia mbali inspirational stories na experience mbali mbali za Maisha ambazo huwa zinaamsha akili za wanafunzi . ... Ukitaka kuona Chou bora nchini weka mtihani wa kukaririsha au issue zenye nature hiyo otherwise ni Hamna kitu Kama inavyoongelewa kwenye media . . . TUFUNGUKE AKILI JAMANI TUJITAMBUE TULIPO NDO TUNAWEZA KUSOGEA MBELE .
 
Mnabishania nini cha muhimu ni kupata maarifa yatakayoweza kuboresha maisha yako. Mnabishana kuhusu kuhusu ubora wa kukariri mambo na si maarifa yanayoweza kuwakomboa, imagine we ni graduate ila umeshindwa hata kuunda idea ambayo itakuwezesha kuingiza hata elfu tano kwa siku? Nini faida ya elimu yako km wewe uliesoma unashndwa kujitengenezea ajira mwenyewe.
 
Ifuatayo ni orodha ya vyuo na kozi wanazotoa UDSM>LAW,ENGINEERING,ACCOUNTING MZUMBE>LAW,ACCOUNTING ,HUMAN RESOURCE TIA>ACCOUNTING DIT>ENGINEERING SUA>Veternary medicine,agriculture engineering,agronomy,water resource and irrigation engineering IFM>Banking&finance

hizi pumba muwe mnaziacha facebook. Bloodburst with poor gradient and culture.
 
Jamani samahanini kwa kuwa nje ya mada,naombeni msaada wa kujua SECOND CLASS ni GPA ya ngapi?
 
Hahahahaha mkuu umepania kweli kuanzisha hizi topic,hebu leta topic ambayo haita tugawanya kubishana
 
Habari wanajamii forum. Nilikuwa naomba mnifahamishe ni vyuo gani vinavyopokea GPA ya pass(2.4)diploma kwenda bachelor. Naombeni msaada wenu
 
Back
Top Bottom