Lugha siyo tatizo kwenye football. Hawaja qualify tu, kama AFCON tu hawakuwepo itakuwa kombe la dunia?Lugha tatizo la waTanganyika.
Kiswahili ni lugha ya kienyeji sana. Waamuzi wetu na wananchi kwa ujumla lugha ya mawasiliano kimataifa hatuwezi.
Tatizo siyo lughaWa kwetu shida lugha kina Arajiga, Sasii, Kayoko, Mwinchui, kombo, Tatu mnyama.
Ingekuwa lugha ndio issue mkuu Zimbabwe,Kenya,Ug,South Africa,Nigeria wangejazanaLugha tatizo la waTanganyika.
Kiswahili ni lugha ya kienyeji sana. Waamuzi wetu na wananchi kwa ujumla lugha ya mawasiliano kimataifa hatuwezi.