DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Orodha ya Waamuzi wa kike watakaochezesha WAFCON (Women’s Africa Cup of Nations) kuanzia tarehe 5-26 Julai 2025 pale nchini Morocco.
Orodha imejumuisha waamuzi wa kati, waamuzi wasaidizi (washika vibendera) na waamuzi wale wa VAR (Video Assistant Referees).
Eneo letu na majirani zetu :-
Rwanda wametoa 3, (kila eneo wametoa mwamuzi 1)
Kenya 1 mwamuzi wa kati
Burundi 1 mashika kibendera
Uganda 1 mwamuzi wa kati.