KILITIME
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 265
- 18
Ndugu WanaJF,
Ifuatayo ni orodha ya waheshimiwa wanaotuwakilisha Bungeni lakini hawajawahi kuuliza swali lolote katika Bunge lililoanza mwaka 2005 na kumalizika mwakani! Kwa ujumla wabunge 89 kati ya 323 hawajawahi kuuliza swali lolote la msingi. Hata hivyo kuna Mbunge mmoja aendaye kwa jina la Rostam Aziz hajawahi kuuliza swali la msingi wala la nyongeza wala mchango wowote! Huyu tunaweza kusema amevunja rekodi ya kuwa mwakilishi bubu bungeni!
Kwa upande wa mawaziri Mh William Ngeleja ameuliza maswali ya msingi 3 peke yake katika Baraza la Mawaziri! Orodha yenyewe hii hapa:

- N'hunga, Juma Suleiman
- Kwegyir, Al-Shymaa John
- Makamba, Col.Lt. Yusufu
- Ishengoma, Dr. Christine G.
- Bukwimba, Lolesia Jeremiah Maselle
- Mukasa, Oscar Rwegasira
- Werema, Frederick Mwita
- Makinda, Anne Semamba
- Karamagi, Nazir Mustafa
- Abdallah, Anna Margareth
- Kigoda, Dr. Aisha Omar
- Burian, Dr. Batilda Salha
- Daftari, Dr. Maua Abeid
- Bendera, Joel Nkaya
- Kamala, Dr. Diodorus Buberwa
- Khatib, Hassan Rajab
- Kusila, William Jonathan
- Maghembe, Prof. Jumanne Abdallah
- Mahanga, Dr. Milton Makongoro
- Marmo, Philip Sang'ka
- Mbega, Monica Ngezi
- Mongella, Ambassador Getrude Ibengwe
- Mrema, Felix Christopher
- Msekela, Dr. James Alex
- Mwakyusa, Prof. David Homeli
- Azizi, Rostam Abdulrasul
- Lukuvi, William Vangimembe
- Khatib, Muhammed Seif
- Nagu, Dr. Mary Michael
- Mwandosya, Prof. Mark James
- Kapuya, Prof. Juma Athuman
- Ngasongwa, Dr. Juma Alifa
- Mungai, Joseph James
- Magufuli, John Pombe Joseph
- Mwapachu, Harith Bakari
- Cheyo, Gideon Asimulike
- Lowassa, Edward Ngoyai
- Chenge, Andrew John
- Khatib, Abdisalaam Issa
- Mudhihir, Mudhihir Mohamed
- Pinda, Mizengo Kayanza Peter
- Mhita, Zabein Muhaji
- Chiligati, Capt. John Zefania
- Msabaha, Dr. Ibrahim Said
- Mwinyi, Dr. Hussein Ali
- Chibulunje, Hezekiah Ndahani
- Abdulaziz, Mohammed Abdi
- Kimbau, Halima Omar
- Kabaka, Gaudentia Mugosi
- Sitta, Margaret Simwanza
- Mahiza, Mwantumu Bakari
- Meghji, Zakia Hamdani
- Ngombale-Mwiru, Kingunge
- Simba, Sophia Mattayo
- Mtemvu, Abbas Zuberi
- Msolla, Prof. Peter Mahamudu
- Kagasheki, Ambassador Hamis Suedi
- Katagira, Eustace Osler
- Mohamed, Salim Yussuf
- Chami, Dr. Cyril August
- Iddi, Ambassador Seif Ali
- Chiza, Christopher Kajoro
- Msambya, Manju Salum Omar
- David, Dr. David Mathayo
- Chikawe, Mathias Meinrad
- Wasira, Stephen Masatu
- Mussa, Omar Sheha
- Mkulo, Mustafa Haidi
- Lotto, Sameer Ismail
- Saddiq, Suleiman Ahmed
- Kombani, Celina Ompeshi
- Ghasia, Hawa Abdulrahman
- Masha, Lawrence Kego
- Kawambwa, Dr. Shukuru Jumanne
- Sumry, Abdallah Salum
- Nchimbi, Dr. Emmanuel John
- Shibuda, John Magale
- Salum, Salum Khamis
- Sitta, Samuel John
- Mzee, Omar Yussuf
- Cheyo, John Momose
- Mwang'onda, Thomas Apson
- Mohamed, Mohamed Aboud
- Sumari, Jeremiah Solomon
- Membe, Bernard Kamillius
- Diallo, Dr. Anthony Mwandu
- Mwangunga, Shamsa Selengia
- Ali, Ali Haji
- Suleiman, Ali Haroon