Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,408
13. Covid-19Hi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2.Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6.Patrobasi katambi
7 Mrisho Gambo.
8.Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9.Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari ..
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni..
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
wote hawatorudi isipokuwa watarudishwa na NECHi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2.Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6.Patrobasi katambi
7 Mrisho Gambo.
8.Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9.Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari ..
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni..
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Tume ndiyo inaamua mshindi na siyo wananchiWote wanaweza kurudi. Ni muhesabu kura na mtangazi ushindi ndio kwa Tanzania anaamua mshindi.
Hiyo tume, mamlaka, wajumbe inachaguliwa na iko chini ya Mwenyekiti wa CCM.
Na Ndugai alisema hatogombea !Cha ajabu umeandika vise versa hao lazima utawaona labda Kwa mbaliii huyo no 11
Huyu inaonekana amekera raia wengi sana
Hizi ni ndoto tu baada ya kushiba.Hi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2.Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6.Patrobasi katambi
7 Mrisho Gambo.
8.Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9.Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari ..
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni..
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Dunia inaenda kasi sana,hadi wewe unatubu sasa hivi!
We mbona ulikuwa chawa wa Makonda
Haina shida si wanarudi wa chama ChaoHi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Yule Betina tulia namhitaji sana asirudi bungeni mdada anachokibri balaaHi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Almost 90% , Halafu Kasimu Majaliwa hakushinda Ubunge , alipita bila kupingwa baada yakila aliyempinga kutekwa , eti PM anapita bila kupingwa ! sijawahi kuona !Hi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Hawa hawarudi waandae mashamba yao ya Pili Pili hoho mapema wakalime nyanya na carrotsMwita Waitara
Stephen Byabato
Kilumbe Ng'enda
Saasisha Mafuwe
Wa Moshi mjini
Jeska Msambatavangu
Prof Mkumbo
Huyu yumo kweli ?Kangi Lugola ni Mbunge wa wapi?! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji91]
Issa mtemvu[emoji16][emoji16]Kibamba wala sijui jina lake
jesca msavatavangu nakazia penye mshonoMwita Waitara
Stephen Byabato
Kilumbe Ng'enda
Saasisha Mafuwe
Wa Moshi mjini
Jeska Msambatavangu
Prof Mkumbo
Nape Nnauye umemsahau.Kama hayupo bungeni ni heri. basi na wengine niliowataja wanamfuata.....ila akili yangu imetuma hapaswi kuwa mbunge ngoja nimnyofoe