Orodha ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

Orodha ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

Kwa sasa Ubunge wako hautokani na chochote kile bali ni uchawa kwa viongozi wa CCM wa sasa.

Vaa kofia ya SSH, popote ulipo mwaga uchawa wa kutosha ili usaidiwe kupenya kura za maoni na Ubunge.

Hutaki basi njoo tujiunge na kauli mbiu ya Taifa - No Reforms No Election.

Kwa Mtu Mzalendo kabisa na mwenye akili timamu - huu si uchaguzi bali kinachofanyika ni justification tu ya Demokrasia kwamba na sisi hapa ipo.
 
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Waitara yule wa tatime
 
Mtu anasema. No rifomu no election afu anaujua wabunge wote wa ccm wasiotakiwa! Nchi ngum sana walai
 
Hi great Thinkers.

Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..

Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.

1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale

List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.

Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.

Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Mkeka bado unapunua huu
 
Back
Top Bottom