Waitara yule wa tatimeHi great Thinkers.
Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare..
Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa.
1. Job Ndugai.
2. Kassim Majaliwa.
3. Bashiru Ally
4. Paramagamba Kabudi.
5. Lukuvi
6. Patrobasi katambi
7. Mrisho Gambo
8. Mbunge wa Misungwi.(Mnyeti)
9. Mbunge wa Ngorongoro
10. Jerry Slaa
11.Mbunge wa segerea (Bonah).
12.Taletale
List ni kubwa sana nawaachia wanajukwaaa wengine waendelee kuleta hayo majina.
Tahadhari.
Vua gamba vaa gwanda inakuja 2025 itakuwa ni kivumbi na jasho
Asanteni.
Uzi huu Siyo Masihara uendelee kuwepo.
Makonda alitakiwa achukue ili jimbo mapema13. Mbunge wa nyamagana bwana Stanslaus mabula akipenda kujiita mtoto wa mjini aandae kabsa mashamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwibara jirani na BundaKangi Lugola ni Mbunge wa wapi?! ππππ₯
Acha kiherehereMtu anasema. No rifomu no election afu anaujua wabunge wote wa ccm wasiotakiwa! Nchi ngum sana walai
Kiherehere ni kufuatilia yasiyokuhusuAcha kiherehere
Mkeka bado unapunua huuHi great Thinkers.