peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ongezea na COVID 19Umemsahau yule wa kule Mbeya
Watarudi kuchunga ng'ombe , kondoo na punda.Ccm bila polisi na wakurugenzi hakuna hata mmoja atakayerudi
Jimbo la LumumbaPolepole na Bashiru wabunge wa majimbo gani?
Unajidanganya...Dr Tulia ackson hawezi shindwa kwa miaka kumi tena ijayoUmemsahau yule wa kule Mbeya
Kwa tume huru,hawezi pita.....take my words.Unajidanganya...Dr Tulia ackson hawezi shindwa kwa miaka kumi tena ijayo
Hawezi kushinda kamwe. Labda aibe kuraUnajidanganya...Dr Tulia ackson hawezi shindwa kwa miaka kumi tena ijayo
Wewe humjui vizuri Msukuma,jamaa anashinda jimbo lolote lile huko usukumani labda la Kishimba tuWabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Majimbo ya uenezi, na darasa huruPolepole na Bashiru wabunge wa majimbo gani?
Wanasiasa hasa ccm Wana laana, pamoja na kiinua mgongo cha zaidi ya 200m bado anaogopa kujiajiri huku wakiwakomalia vijana wasio na mitaji wajiajiri.What a shame!Watarudi kuchunga ng'ombe , kondoo na punda.
Mpaka shingokama katiba itapatikana 3/4 ya wabunge wa ccm wataliwa kichwa
Ha ha ha hii list mbona mwaka huu inaanza mapema....hai wabunge wa majimbo ya tumboni Pao wamepewa ofa ...nawashauri wafungue vibanda vya uwakala au supu ya mbuzi mapema maana huenda hawana hata vigenge vya kupata hela baada ubunge kukoma...Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
mungu akipenda 2025 inaweza kua ndo mauti ya ccmMpaka shingo