Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Ww nae kichuma kweli polepole na Bashiru nao wana majimbo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajidanganya...Dr Tulia ackson hawezi shindwa kwa miaka kumi tena ijayo
Umeambiwa wanalo la lumumbaWw nae kichuma kweli polepole na Bashiru nao wana majimbo?
Humjui Msukuma wewe,hata akienguliwa,akaenda upande wa pili anashinda tu. Ongelea hao wengine.Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
1. Ask. GwajimaWabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Unanikumbusha juzi hapa anapita ameacha gari vioo wazi anapunga mikono halafu watu hawana habari naye. Hayuko mioyoni mwa watu huyuUnajidanganya...Dr Tulia ackson hawezi shindwa kwa miaka kumi tena ijayo
""GRAY HOUSE''Polepole na Bashiru wabunge wa majimbo gani?
Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Unajidanganya...Dr Tulia ackson hawezi shindwa kwa miaka kumi tena ijayo
wote ambao Mwenyekiti wa CCM ataamua wasirudi, nchi hii ni ya mfumo chama kimoja.Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Wa CHADEMA wamejiajiri?Wanasiasa hasa ccm Wana laana, pamoja na kiinua mgongo cha zaidi ya 200m bado anaogopa kujiajiri huku wakiwakomalia vijana wasio na mitaji wajiajiri.What a shame!
Yule wa jalalani ni vipi? mbona hata hasikiki?Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;-
1. Dkt. Kalemani
2. Msukuma
3. Prof. Ndalichako
4. Saashisha Mafue
5. Polepole
6. Priscus Tarimo
7. Dr Bashiru
8. ……………,
9. …………….,
Unadhani wanaishije sahivi baada ya kudhulumiwa na jiwe and coWa CHADEMA wamejiajiri?
BetinaUmemsahau yule wa kule Mbeya