Orodha ya wachezaji mizigo Yanga

Dah! hiyo shida tunayo kaka inabidi tuivumilie tu mpaka imalize mkataba.... mchezaji kila game lazima apaniki uwanjani

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Uchawi wa ghana noma mzeya yaani wanaume wote wa yanga pale pamoja na jamaa kuwa waga mwenye kesi bado tena mkamkaribisha nyumbani kwenu🤣🤣🤣🤣 hapo ni tosha kisema kuwa uongozi hauna akili
 
Uchawi wa ghana noma mzeya yaani wanaume wote wa yanga pale pamoja na jamaa kuwa waga mwenye kesi bado tena mkamkaribisha nyumbani kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ni tosha kisema kuwa uongozi hauna akili
Sidhani kama uchawi mkuu.... ni uongozi kutaka masifa ya kijinga toka kwa mashabiki kumrudisha morisson au kisinda

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa, jamaa hajawahi kushinda mechi za kimataifa na Yanga. Haya mambo ya kuhonga marefa yametuumbua panapo stahili.
Acha uongo mkuu Nabi amewapiga Zalan nje ndani jumla ya magoli 9
 
Hakuna kikosi Bora yanga niliyoina toka nimeanza kushabikia mpira kama kikosi kilichopo sasa....... Nawaza tuu lkn😂
 
Ilitakiwa apandishe kiwango mkuu ye nae toka arudishwe pale hakuna lolote analolifanya.... na ikitokea mayele kaumia sijui itakuwaje tu pale mbele

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Lakini hapewi nafasi we unafikiri huo ubora wake utauonea wapi?

Nafasi anazopewa ni zile kwenye mechi ngumu ambayo hata Mayele imemshinda, nazenyewe hizo bado anaingia dakika za mwishoni sana.
 
Kwa haya matokeo kuna panga litapita ili mashabik waone uongoz upo serious na lengo ni kupunguz pressure..:mkiambiwa sajilin wachezaj wanaoelewa haya mashndano...mnakuja kumpoka morosn kutoka simba eti kisa kaisaidia simba msimu uliopita kufika robo fainali..achaneni na usajil wa miemuko
 
Kweli kabisa, jamaa hajawahi kushinda mechi za kimataifa na Yanga. Haya mambo ya kuhonga marefa yametuumbua panapo stahili.
Kwan zalan fc wanatokea mkoa gani hapa bongo? mbn wamepigwa halafu unasema kocha hajawahi kushinda kimataifa. Timu zinazidiana uwezo, lakini pia mpira una matokeo matatu lolote linatokea , timu zote zinatafuta matokeo
 
Mchezaji mwenyewe wa mechi mojamoja..... atacheza vizuri mechi hii.... nne zijazo utopolo mtupu

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Lawama zote pelekeni kwa uongozi. Wewe unajiandaa na mechi za kimataifa bila kucheza mechi za kirafiki zenye uzito wa kimataifa?

Wachezaji hawana hatia wako vizuri sana shida uongozi wenu uliendelea kupiga kampain hata baada ya uchaguzi.
Kikosi cha 2b hakina mambo mengi na hakihitaji trials
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…