Uchawi wa ghana noma mzeya yaani wanaume wote wa yanga pale pamoja na jamaa kuwa waga mwenye kesi bado tena mkamkaribisha nyumbani kwenu🤣🤣🤣🤣 hapo ni tosha kisema kuwa uongozi hauna akiliDah! hiyo shida tunayo kaka inabidi tuivumilie tu mpaka imalize mkataba.... mchezaji kila game lazima apaniki uwanjani
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app