Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 501
- 788
Lionel Messi anaongoza kundi la watu ambalo kwa pamoja wamekuwa wakijipatia zaidi ya $990m katika miezi 12 , huku kiwango cha kuwania nafasi hiyo kikipanda zaidi ya ilivyokuwa awali.
Lionel Messi alikuwa na umri wa miaka 17 alipoanza kushiriki katika kikosi cha kwanza cha timu ya Barcelona , hivyobasi aliondoka katika klabu hiyo baada ya miaka 17 na kujiunga na klabu ya PSG Agosti iliopita.
Huku akipokea $130 million kabla ya kutozwa kodi , katika kipindi cha miezi 12 iliopita, Messi anashikilia bafasi ya kwanza katika orodha ya jatrida la Forbes ya kila mwaka dunianoi akiwa mchezaji anayelipwa zaidi akiongozo orodha hiyo kwa mara ya pili baada yam waka 2019.
Ingawa Forbes wanakadiria kuwa mshahara wa Messi umepungua takriban dola milioni 22 kutoka mwaka wake wa mwisho akiwa na Barcelona hadi dola milioni 75 msimu huu akiwa PSG - nyongeza kubwa ya uidhinishaji inamsaidia kufikia rekodi ya jumla ya miezi 12 ya mchezaji wa soka aliyochapisha mwaka jana, wakati alipomaliza katika nafasi ya 2 nyuma ya mpiganaji wa MMA Conor McGregor.
Mpinzani wa Messi, Cristiano Ronaldo-ambaye pia alibadilisha timu mwezi Agosti, akihama kutoka Juventus kwenda Manchester United-ameorodheshwa wa tatu mwaka huu akiwa na $115 milioni. Aliye katikati ya wawili hao ni mchezaji wa timu ya vikapu ya La lakers LeBron James aliyepokea $121.2 milioni, na kuvunja rekodi ya $96.5 milioni ya mchezaji wa NBA ambayo aliweka mwaka jana. James anakuwa mwanariadha wa kumi pekee kuwahi kupita dola milioni 100 kwa mwaka mmoja, hatua ambayo Messi na Ronaldo wamefikia mara tano kila mmoja.