Orodha ya wachezaji wanaolipwa mkwanja mrefu EPL

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985
Hii hapa chini ni orodha ya mastaa wa Soka kwenye Ligi hiyo wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi kwa wiki.

1- Paul Pogba analipwa pound 290000/Tsh 872,087,739 (ManUnited)

2- Romelu Lukaku pound 250000/Tsh 752,068,375 (ManUnited)

3- Sergio Aguero pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManCity)

= Yaya Toure pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManCity)

= Zlatan Ibrahimovic pound 220000/Tsh 661,820,170 (ManUnited)

6-Kevin De Bruyne pound 200000/Tsh 601,609,900 (Man City)

= David De Gea pound 200000/Tsh 601,609,900 (ManUnited)

= Eden Hazard pound 200000/Tsh 601,609,900 (Chelsea)

9-Virgil van Djik pound 180000/Tsh 541,448,910 (Liverpool)

= Philippe Coutinho pound 180000/Tsh 54,1448,910 (Liverpool)
 
Yani huyu VVD hata bado hajatua liverpool tayari ana mshahara mkubwa sawa na little Magician?
Hawa natajiri wetu hawapo siriaz..
 
Yaya Toure analamba mshahara akiwa anachoma mahindi;Guadiola ana mind ila mkataba unaheshimiwa angekua mzungu angeona aibu kula mshahara mnene hivyo bench angeenda hata westham
 
Anakula matunda kwa kazi kubwa aliyoifanya hapo nyuma.. mabosi mpaka mashabi wanaelewa mchango mkubwa wa yaya toure, la sivyo wangekuwa washamtupia virago..
 
Utamtupiaje virago akiwa na mkataba?ni gharama kubwa wanaona bora abaki asaidie kombe la ligi na Yaya anajua akihama hapati tena huo mshahara kwa age yake,ilitokea Chelsea kwa Malouda alikua analipwa Paundi 100000 walimshusha hadi kucheza na team ya vijana ila jamaa hakutaka kuhama alijua hawez kupata huo mshahara team nyingine kwa kiwango kilivyoshuka
 
Amebakisha muda gani, na lini aliongeza mkataba!?
 
No wonder Yaya Toure yupo happy tu kusugua bench. Shaka ya nini kila week unavuta mshiko mnono huku hutoki jasho?
Awe mwangalifu na kiumbe kinaitwa MWANAMKE, amcheki Emmanuel Eboue amueleze yaliyomkuta.
 
Yaya Toure analamba mshahara akiwa anachoma mahindi;Guadiola ana mind ila mkataba unaheshimiwa angekua mzungu angeona aibu kula mshahara mnene hivyo bench angeenda hata westham
Atakuwa chizi. Aache 220,000 akachukue 45,000?
 
Back
Top Bottom