Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Mnapiga midomo sanaBaada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Hakika Mkuu, sisi tunawasaidia mpira sio uadui. Simba hawana timu waache janja janja wasajili wachezaji wazuriWatu hawapendi kusikia huu ukweli.Wanajifariji kwamba watu wamechoka.Hakuna logic kabisa
Basi subiri wacheze kwanza mechi ya June 15 then ndio watupiwe viragoBaada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Hiyo juni 15 itakua ni maafa. Zinaweza kupita zile tano za msimu uliopita.Basi subiri wacheze kwanza mechi ya June 15 then ndio watupiwe virago
Umemaanisha timu za ligi kuu au Simba pekee?Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Timu za Ligu Kuu, Simba ndio inaorodha ndefu ya wachezaji hao.Umemaanisha timu za ligi kuu au Simba pekee?
Afadhali wewe umekubali kuwa mtacheza. Waeleze basi akina Hersi na ArafatHiyo juni 15 itakua ni maafa. Zinaweza kupita zile tano za msimu uliopita.
Kwa hiyo hiyo orodha yako ya kijinga umeona iishie kwa Simba tu ili vyura wawahi kuwasajili?Timu za Ligu Kuu, Simba ndio inaorodha ndefu ya wachezaji hao.
Wewe subiri hao uliowataja wanajua wanachofanya.Afadhali wewe umekubali kuwa mtacheza. Waeleze basi akina Hersi na Arafat
Yanga bwana mnasema wachezaji wa simba wazee na wabovu ila wakiachwa mnawachukua mfano:–Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Ivi ateba ana magoli mangapi ya penati. Hahaha nakumbuka kisa cha Ntibazonkiza na mayeleBaada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Mbona wachezaji wote ni wa Simba! Kulikoni!! Halafu ni wiki chache tu zilizopita, wachezaji hawa hawa waliifikisha simba fainali ya kombe la shirikisho!Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu.
1. Ally Salim (Simba)
2. Chamou Karabou (Simba)
3. Che Fondoh Malone (Simba)
4. Lionel Ateba (Simba)
5. Steve Mukwala (Simba)
6. Joshua Mutale (Simba)
7. Agustine Okejepha (Simba)
8. Deborah Fernandez (Simba)
9. Valentine Nouma
Kama hali ndio hii, hii timu ilitakiwa iwe mkiani ila shukrani za dhati kwa Kayombo, Malogo na Sasii.
Leo umejua kwanini wote ni wa SimbaMbona wachezaji wote ni wa Simba! Kulimoni!! Halafu ni wiki chache tu zilizopita, wachezaji hawa hawa waliifikisha simba fainali ya kombe la shirikisho!
Kwa hali hii sasa kila msimu simba itakuwa inasajili wachezaji wapya. Mimi nafikiri usajili ungefanyika kimkakati zaidi, na siyo kimhemko na kwa kushinda na Yanga.Leo umejua kwanini wote ni wa Simba