Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,197
Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).

Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward

Mkuu tumekusoma na upo sawa watanzania hatuwezi kuongozwa na wauzaji wa rasilimali zetu
 
Kweli hii ndio siiiiasaaa ya Tz
Ishu kama za kina babu Seya nk tujiandaee kupokea sio!
 
Sipati picha itakuwaje kwa wale waliobadili namba zinazoanzia na ST... DFP... na kuwa T... Kwa manufaa binafsi
 

acha unafiki kabla magufuli hajateuluwa kuwa mgombea mbona huku post hiyo thread yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…