Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
Lowasa anatoa yake ya moyoni leo
Membe alisema kuwa akira rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf mebers, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa waziri mkuu)
Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
Lowassa is a dead case!!!
Tumieni akili kitendo cha kuwa Rais siyo tiketi ya kuwazba watu midomo dhidi ya maovu unayoyafanya lazma yataanikwa tu. nyie mnamuogopa subirin kazi ianze atakavyokalishwa ndo mtajua tanzania ina wanasiasa au wanaharakat wasiotishiwa nyauu
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
Hasa waliozoea kuishi kwa mazoea, JK jana alisema Magufuli hapendi 'Ujinga' JK anajua yeye alikuwa anavumilia ujinga.Magufuri ni mzuri ila maamuzi yake yataumiza wengi ingawa tutapata maendeleo
Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).
Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
Nakutaarifu ukweli, tafakari post yako uichambue uone kama ina intellectual analysis. Anyway, sijui kama naongea na mtu wa vipi. Inaelekea tunaweza kuwa tunapishana sana. Kwa heri
Umenikumbusha, asante mkuu, kuna credit nyingine za huyu jamaa tulikuwa tumezisahau. napata matumaini na huyu jamaa.Ila kuna minong'ono kuhusu makamu. Kama ni kweli basi tusitegemee mapya!Sipati picha itakuwaje kwa wale waliobadili namba zinazoanzia na ST... DFP... na kuwa T... Kwa manufaa binafsi
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
Lowasa anatoa yake ya moyoni leo
alikuwa anaonekana mzuri sana kwa kuwa alikuwa chini ya watu wa2 na hasa kocha wake mkubwa pinda sasa now yeye ndio KInG .ataweza kuendeleza yale maamuzi yake ambayo some times hayana hata chembe ya busara??.
asiye kuwa na 200 ya kulipia kivukio kigamboni na apige mbizi.
Hana jipya,na Ile timu take wasipokuwa makini watapotezwa lazima kisiasa..