Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

Kazi gani wewe, acha kumpamba mtu. Kazi kumzidi nani?
Mkuu haya maneno niliyasema July 2015. Leo hii mwaka mmoja na mwezi yalishathibitika.

Magufuli ni makali na hataki mchezo wala kucheka yeye ni kazi tu. Hana visasi wala nini ila ukikosea haoni aibu wala hana ajizi atakutosa tu hata kama ni swaiba wake. kwa kifupi hana rafiki wa kujuana ila ana marafiki wa kazi.
 
Acha ndoto za mchana ww upopo ndio nini?
Kuweni na amani...administration ya Magufuli ina focus na kuwekeza kwenye mchakamchaka wa mapinduzi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa...
 
According to Mange Kimambi she's had enough of Magu...hehheheeee hoiiiii.
Magu naye kamwambia kuwa fungu la muss halijai....akha!

Mange Kimambi ndiye nani? Anakaa wapi? Ni nani (ana influence gani) kwenye siasa za Tanzania?
 
Leteni mambo ya msingi yeye kujenga nchi.na kuimarisha umoja wetu kama watanzania
 
Dkt Magufuli ni kiongozi. Uongozi wake ni kipaji alichojaliwa na Mungu. Hukemea ila huwa hakomoi. Hurekebisha na kukosoa ila huwa haishi maisha ya visasi. Kama ilivyokuwa kwa JK, Dkt Magufuli si kiongozi wa kisasi.
 
Dkt Magufuli ni kiongozi. Uongozi wake ni kipaji alichojaliwa na Mungu. Hukemea ila huwa hakomoi. Hurekebisha na kukosoa ila huwa haishi maisha ya visasi. Kama ilivyokuwa kwa JK, Dkt Magufuli si kiongozi wa kisasi.
 
Mange Kimambi ndiye nani? Anakaa wapi? Ni nani (ana influence gani) kwenye siasa za Tanzania?

Ni mganga njaa tu yupo Marekani anajiita mwana-Diaspora, hana lolote kabisa yeye anaotea tu mitandao ya kijamii na kufyatua habari hahahahahhahah lakini yupo fiti sana mdada yule
 
M
Mbona Ulimwengu hajakimbia na amekuwa akimukosoa Magufuli tokea enzi akiwa waziri wa mawasiliano na ujenzi
 
M

Mbona Ulimwengu hajakimbia na amekuwa akimukosoa Magufuli tokea enzi akiwa waziri wa mawasiliano na ujenzi
Kilichomwokoa Ulimwengu na hao akina Pasco ni members hajawa Rais
 
Magufuri ni mzuri ila maamuzi yake yataumiza wengi ingawa tutapata maendeleo

Hakuna maendeleo ndani ya utawala huu zaid ya hadithi kwani serikali umekuwa ya maneno mengi sn kulko utendaji...
 
wamwage hapa
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward
Sawa,
Tumekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…