Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

Dua za kuku hizo mwisho wenu umefika tuwasubiri wajukuu labda watakuja na Siasa za maelewani na sio za fujofujo km UKAWA

Mkuu nyie ndiyo siku zenu 40 zinakaribia maana ukawa ikiingia madarakani tunaanza na vibaka hadi mapapa walio iba rasilimali za watanzania hadi kulifikisha taifa hapa lilipo.
 
ndio mimi mkuu,huwa nakuwa pale na wanangu (marafiki),tena wengine wanatokea mle ndani kwenye ukuta mweupe, tunajisikia raha sana kula ganja maeneo yale."popo-ma" GENTAMYCINE na mbwembwe zake za nyuma ya keyboard hawezi kutia mguu pale,maana kile ni kijiwe cha walume ndago watupu.na siku akithubutu lazima tumvutishe "dry" ili tupime uwezo wake kama yaliyomo yamo.

halafu samahani kwa kukosea jina,upo sahihi ni SJMC.ndio madhara ya kula ganja mchana.

Hiyo nayo ni sifa?
 
Rungu la kwanza la Magufuri litatua kwa Mizengo Kayanza Pinda (Mfalme wa nyuki) maana alikuwa anamdhalilisha sana.
 
Sipati picha itakuwaje kwa wale waliobadili namba zinazoanzia na ST... DFP... na kuwa T... Kwa manufaa binafsi

Usisahau na nyumba za serikali zilizobadilishwa umiliki.............
 
Wale wachina wa meli na samaki zao wakomae walipwe vinginevyo sijui
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward

And here I mark,
 
Mkuu nyie ndiyo siku zenu 40 zinakaribia maana ukawa ikiingia madarakani tunaanza na vibaka hadi mapapa walio iba rasilimali za watanzania hadi kulifikisha taifa hapa lilipo.
Ikulu ya wapi?
hapa sasa ni mpaka baada ya 2025 iwapo Magufuli atavurunda la sivyo jipangeni muwachukue na Wasukuma miaka ya baadaye
Lakini kujidai na kunadi mnataka Nchi yenu ya Kaskazini, ni bora mumchukue na Lowassa bado Kiongozi bora hatatoka KASKAZINI
CJsZ8L9WoAAwTl8.jpg
 
Aliselema alija, selemaselema alija.....ndio mpango mzima huku tuliko, tunaimba kila sehemu
 
Natamani sana Magufuli awe Rais kwa sababu nawachukia sana vibaka wa nchi hii...yani watu tunazaliwa tunazeka tinakufa miaka 100 bado kila siku hela za hazona zinaishia kununua kslwnda na chai maofisini....
 
Back
Top Bottom