OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
Well said.... Wavute subira, Nchi inakwenda kusimama... Na Rais anaenda kujilikana