Orodha ya wana Jamiiforums wanaoongoza kwa mashushu makali.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Swalamaaaah!!!!!!???

Leo Bujibuji ninakuja kivingine kama babu Ambilikilę Mwasapile alivyotoka na kikombe cha jero hadi kuwa billionea akiwa na zaidi ya miaka 75, usikate tamaa hata wewe utatusua tu, ila kuwa mbunifu achana na maisha ya ku copy na ku paste, tengeneza maisha yako binafsi.
Hapa JamiiForums kila mtu ana tabia zake, mbaya na nzuri. Tena tabia ambazo hazijifichi licha ya kuwa tuko kwenye keyboard.
Usiombe wallah ukutane na mama yangu mpendwa FaizaFoxy akiwa amevurugwa, unaweza ukajiuliza sasa mimi duniani nilikuja kufanya nini?
Pia kuna jamaa mwingine anaitwa GENTAMYCINE, huyu ni kama ana pepo mchafu, anaweza kuwajibu JamiiForums wote.
Akitulia anaandika vizuri sana, sasa katikati ya thread humo anataka wote mumuunge tu mkono, kinyume na hapo, utakoma.
Pia wapo kina Mshana Jr, GuDume na wengine wengi kama Kyokola, Mamndenyi, mwaJ, wao wataka ku entertain, watakuonya kwa upole, watakufundisha mpaka utajiona ni nyani unayetakiwa kunyolewa manyoya na ukatwe mkia kwa hiari yako mwenyewe.
JamiiForums wote na mazuri na mabaya yao ndio wanafanya jukwaa linoge kila uchao.
Stay blessed
 
mimi je ?
 
GENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
 
Back
Top Bottom