Orodha ya wana Jamiiforums wanaoongoza kwa mashushu makali.

Orodha ya wana Jamiiforums wanaoongoza kwa mashushu makali.

Tumetajwa wengi ila kwa wenye Akili na tuliokuzidi Akili tunajua kuwa lengo Mama ( Kuu ) la huu ' Uzi ' ni ' Kumjadili ' tu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kwani kama hajadiliwi Yeye Jamvi ' halinogi ' au kama Mtu anaona ' Kiki ' yake imepotea na sasa anataka Kuirudisha basi ni lazima ahakikishe kuwa anamzungumzia Mnyarwanda Mtanzania anayewasumbua Watu ' Vichwa ' hapa kila Uchao.

Haya sasa nimekurahisishia Kazi na imeanza rasmi.
IMG-20190604-WA0001.jpg
 
Nakwede, Kuna NTU kaambiwa anajigonga kwa NTU mwingine.... Kuweka NZANI sawa, NTU wewe jigonge kwa NTU mimi
🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔
Mkuu nimefikiria sana, kwani huwa hunioni ninavyojigonga kwako, hasa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
GENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?

Usitajeeee....
 
Back
Top Bottom