agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Hakuna haja ya kujigonga naingia pm tu.Unajigonga kwa RRONDO, mfungukie tu, ni MTU mzima mwenzio atakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kujigonga naingia pm tu.Unajigonga kwa RRONDO, mfungukie tu, ni MTU mzima mwenzio atakuelewa
Tumetajwa wengi ila kwa wenye Akili na tuliokuzidi Akili tunajua kuwa lengo Mama ( Kuu ) la huu ' Uzi ' ni ' Kumjadili ' tu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kwani kama hajadiliwi Yeye Jamvi ' halinogi ' au kama Mtu anaona ' Kiki ' yake imepotea na sasa anataka Kuirudisha basi ni lazima ahakikishe kuwa anamzungumzia Mnyarwanda Mtanzania anayewasumbua Watu ' Vichwa ' hapa kila Uchao.
Haya sasa nimekurahisishia Kazi na imeanza rasmi.
Kwamba najigonga kwako?Mtu mzima umeelewa vizuri 🙂 🙂
shikamooNaona leo shuzi limepata mjambaji...teh
Safi sana fundiHaki miliki.
Yeah...una personal vendettaKwamba najigonga kwako?
Chukua hatua fasterHakuna haja ya kujigonga naingia pm tu.
Unatoa ya moyoni.Yeah...una personal vendetta.
Njoo PMUnatoa ya moyoni.
Nakwede, Kuna NTU kaambiwa anajigonga kwa NTU mwingine.... Kuweka NZANI sawa, NTU wewe jigonge kwa NTU mimishikamoo
Ni aina tu nyingine ya kujigongaHakuna haja ya kujigonga naingia pm tu.
🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔Nakwede, Kuna NTU kaambiwa anajigonga kwa NTU mwingine.... Kuweka NZANI sawa, NTU wewe jigonge kwa NTU mimi
GENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
GENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
Hakuna shida... Wala tatizoKuna tatizo? 😀 😀 bongo bnaa
Usitajeeee....🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔
Mkuu nimefikiria sana, kwani huwa hunioni ninavyojigonga kwako, hasa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
OK.Hakuna shida... Wala tatizo
Usiwasikilize hao njoo tuyajenge...Nije kujigonga?😀😀😀😀