Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Hukohuko kwenye magari anashushua balaaa.RRONDO hana noma na MTU, labda umuingilie kwenye sekta yake ya magari ya Ulaya Magharibi. Nilishangaa juzi kuona kumbe ana GX100, mweeeee
GENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
Unanisingizia wewe binti.Umemsahau Rrondo
Aaah wee unashushua sana,unamshuuu mwingine aibu naonaga mimi .Unanisingizia wewe binti.
Umenifananisha tuAaah wee unashushua sana,unamshuuu mwingine aibu naonaga mimi .
Ha ha ha ha charismatic fellow sijui nini vile........Kuna unayoyajua na usiyoyajua. Nakuomba tulia na itafakari kwa Kina sana hii Kauli. Na najua huu ' Uzi ' umeanzishwa ' Kimkakati ' kabisa ili baade Mtu anitaje Mimi kama ulivyofanya Wewe hapa ili Mimi sasa ndiyo nibebe ' Maudhui ' mazima ya ' Uzi ' huu kwani hapa JamiiForums asipozungumziwa / asipozungumzwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Jamvi halinogi.
Haya nimeshajibu sasa hivyo ni matumaini yangu kuanzia sasa kitakachojadiliwa siyo ' Mada ' husika iliyoko mezani bali ni GENTAMYCINE kama ambavyo ' Agenda ' yako na hao Wenzako ilivyokuwa. Kila Siku huwa nawaambia nina Kiburi, Nyodo na Jeuri kwakuwa najua Kichwani mwangu hasa ' Ubongoni ' Mwenyezi Mungu alitulia sana na mno na kunizidishia ' Madini ' ya Upeo, Fikra na Ujanja mwingi wa Kutambua mambo na kuwa na Maono ya Ndege Tai kuliko wengine wengi.
Namalizia tena kwa Kusisitiza Kwako kuwa kuna Unayoyajua na Usiyoyajua.
This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Kwelii jamani wamekuedit 😂 😂 😂 😂Umenifananisha tu
Ha ha ha ha charismatic fellow sijui nini vile........
Hajanishushua mimi ila nilizifuma comment zake pahala.RRONDO labda alikuwa anakufundisha kupiga spana, ila hukumuelewa, kila mwalimu ana teaching methodology zake.
Swalamaaaah!!!!!!???
Leo Bujibuji ninakuja kivingine kama babu Ambilikilę Mwasapile alivyotoka na kikombe cha jero hadi kuwa billionea akiwa na zaidi ya miaka 75, usikate tamaa hata wewe utatusua tu, ila kuwa mbunifu achana na maisha ya ku copy na ku paste, tengeneza maisha yako binafsi.
Hapa JamiiForums kila mtu ana tabia zake, mbaya na nzuri. Tena tabia ambazo hazijifichi licha ya kuwa tuko kwenye keyboard.
Usiombe wallah ukutane na mama yangu mpendwa FaizaFoxy akiwa amevurugwa, unaweza ukajiuliza sasa mimi duniani nilikuja kufanya nini?
Pia kuna jamaa mwingine anaitwa GENTAMYCINE, huyu ni kama ana pepo mchafu, anaweza kuwajibu JamiiForums wote.
Akitulia anaandika vizuri sana, sasa katikati ya thread humo anataka wote mumuunge tu mkono, kinyume na hapo, utakoma.
Pia wapo kina Mshana Jr, GuDume na wengine wengi kama Kyokola, Mamndenyi, mwaJ, wao wataka ku entertain, watakuonya kwa upole, watakufundisha mpaka utajiona ni nyani unayetakiwa kunyolewa manyoya na ukatwe mkia kwa hiari yako mwenyewe.
JamiiForums wote na mazuri na mabaya yao ndio wanafanya jukwaa linoge kila uchao.
Stay blessed
Haki miliki.Haki gani tena atepewa baada ya kunyongwa