[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]What?
Daah!
Nipo sana tu. Hunioni tu.Uko likizo?kimya kimezidi sana
Uko likizo?kimya kimezidi sana
KyerooooooooooMarahaba binti, lakini hapo katikati ya M na O ungeongeza herufi B.....teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kyeroooooooooo
Hivi wanawake ndo wana tabia ya kujishuku eeeehUnacheka nini mkuu?
Ni muoga sana ukimjibu hakawii kuwaita modsAna wazimu, anajiona eti yeye ni Mnyarwanda wakati ni Mjita wa Bunda tu hapo
Unamuonea mstaarabu sana halafu anachangamsha na kuleta mawazo fikirishiNgoja akupe za chembe
Yuko anxious, pole kwa inferiority problem GENTAMYCINENi muoga sana ukimjibu hakawii kuwaita mods
Ni faraja kupata chapisho toka kwako baada ya siku tele. Ingawa hakuna post zenye changamoto kama zama zileNipo sana tu. Hunioni tu.
Yuko anxious, pole kwa inferiority problem GENTAMYCINE
Wewe ni mkali wa wakali kama Mzee Meko wa Bush Stars kwenye gazeti la SaniMm je ?!
warumi mamaa ya ubuyu, yaani ana matukio yote, saa hizi anajua @lemutuza yuko wapi na anaongea nini na nani
Mi ninayo Land Rover 109 na bado inadunda, miliki what so ever is good to u hata treni ukiwezaA nigga aint allowed to have more than one car? JP and Germany machine? πππ