Orodha ya wana Jamiiforums wanaoongoza kwa mashushu makali.

Nimetoka chuga na ndoo ndogo ya dope upo wapi nikuletee
Mkuu niko nje ya nchi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
N
NimeCheka kwa mtusi genta
 
GENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
Ngoja aje usikimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…