RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Njoo PM unikumbusheEee kwa sababu machungu hayajapoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PM unikumbusheEee kwa sababu machungu hayajapoa
Haha itabadilisha ukweli? Sana sana nitakuja kukumbusha machungu tuNjoo PM unikumbushe
Nitakupooza machunguHaha itabadilisha ukweli? Sana sana nitakuja kukumbusha machungu tu
We nipooze tu hayo machungu hatuna haja ya kufukua makaburiNitakupooza machungu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Usiwasikilize hao njoo tuyajenge...
Eid MubarakWe nipooze tu hayo machungu hatuna haja ya kufukua makaburi
[emoji4]
Mkuu niko nje ya nchi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Nimetoka chuga na ndoo ndogo ya dope upo wapi nikuletee
Daah kwa hiyo eid Mubarak ya mikono mitupu ndio itapooza machungu?[emoji47][emoji47]Eid Mubarak
Njoo SinzaDaah kwa hiyo eid Mubarak ya mikono mitupu ndio itapooza machungu?[emoji47][emoji47]
Sawa majukumu memaMkuu niko nje ya nchi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
SawaNjoo Sinza
Ahsante chief[emoji120][emoji120][emoji120]Sawa majukumu mema
NimeCheka kwa mtusi gentaSwalamaaaah!!!!!!???
Leo Bujibuji ninakuja kivingine kama babu Ambilikilę Mwasapile alivyotoka na kikombe cha jero hadi kuwa billionea akiwa na zaidi ya miaka 75, usikate tamaa hata wewe utatusua tu, ila kuwa mbunifu achana na maisha ya ku copy na ku paste, tengeneza maisha yako binafsi.
Hapa JamiiForums kila mtu ana tabia zake, mbaya na nzuri. Tena tabia ambazo hazijifichi licha ya kuwa tuko kwenye keyboard.
Usiombe wallah ukutane na mama yangu mpendwa FaizaFoxy akiwa amevurugwa, unaweza ukajiuliza sasa mimi duniani nilikuja kufanya nini?
Pia kuna jamaa mwingine anaitwa GENTAMYCINE, huyu ni kama ana pepo mchafu, anaweza kuwajibu JamiiForums wote.
Akitulia anaandika vizuri sana, sasa katikati ya thread humo anataka wote mumuunge tu mkono, kinyume na hapo, utakoma.
Pia wapo kina Mshana Jr, GuDume na wengine wengi kama Kyokola, Mamndenyi, mwaJ, wao wataka ku entertain, watakuonya kwa upole, watakufundisha mpaka utajiona ni nyani unayetakiwa kunyolewa manyoya na ukatwe mkia kwa hiari yako mwenyewe.
JamiiForums wote na mazuri na mabaya yao ndio wanafanya jukwaa linoge kila uchao.
Stay blessed
Ngoja aje usikimbieGENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
Living la Vida locaN
NimeCheka kwa mtusi genta
Ngoja aje usikimbie