Orodha ya wana Jamiiforums wanaoongoza kwa mashushu makali.

Orodha ya wana Jamiiforums wanaoongoza kwa mashushu makali.

Watu huwa wanasema mimi nna mashushu kumbe mnanisingizia mbona Buji hajaniona
 
Swalamaaaah!!!!!!???

Leo Bujibuji ninakuja kivingine kama babu Ambilikilę Mwasapile alivyotoka na kikombe cha jero hadi kuwa billionea akiwa na zaidi ya miaka 75, usikate tamaa hata wewe utatusua tu, ila kuwa mbunifu achana na maisha ya ku copy na ku paste, tengeneza maisha yako binafsi.
Hapa JamiiForums kila mtu ana tabia zake, mbaya na nzuri. Tena tabia ambazo hazijifichi licha ya kuwa tuko kwenye keyboard.
Usiombe wallah ukutane na mama yangu mpendwa FaizaFoxy akiwa amevurugwa, unaweza ukajiuliza sasa mimi duniani nilikuja kufanya nini?
Pia kuna jamaa mwingine anaitwa GENTAMYCINE, huyu ni kama ana pepo mchafu, anaweza kuwajibu JamiiForums wote.
Akitulia anaandika vizuri sana, sasa katikati ya thread humo anataka wote mumuunge tu mkono, kinyume na hapo, utakoma.
Pia wapo kina Mshana Jr, GuDume na wengine wengi kama Kyokola, Mamndenyi, mwaJ, wao wataka ku entertain, watakuonya kwa upole, watakufundisha mpaka utajiona ni nyani unayetakiwa kunyolewa manyoya na ukatwe mkia kwa hiari yako mwenyewe.
JamiiForums wote na mazuri na mabaya yao ndio wanafanya jukwaa linoge kila uchao.
Stay blessed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me huwa mkweli.Nadhani hali yangu kuwa ngumu kiuchumi imenifanya kufikia hivi.Sasa utaomba dyudyu huna hata ya soda na baby?
Hahaa kumbe ni umepumzika kwa kuwa huna hela !!! My foot ... Hilo halikufanyi uepuke sofa yako ya kupenda papuchi.... By the way jina lako tu ni reference tosha
 
Hahaa kumbe ni umepumzika kwa kuwa huna hela !!! My foot ... Hilo halikufanyi uepuke sofa yako ya kupenda papuchi.... By the way jina lako tu ni reference tosha
Hahahah haya bana.Ww huwa hutumi tamu?
Hili jina ww umetafsiri upande huo wakat mie namaanisha vingine
 
Back
Top Bottom