Kobaba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 492
- 342
Tume ya UchaguziMie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume ya UchaguziMie?
Eid Mubaraq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha haya sawa mkuu.Tume ya Uchaguzi
Bora ...katetewa hapaHujakosea walah
Uko wapi Sheriff ustadhEid Mubaraq
Niko Mwenge... very boredUko wapi Sheriff ustadh
Hebu jongea pwani hii ya brtNiko Mwenge... very bored
Hii sikukuu imeniletea mafua ya ndegeNiko Mwenge... very bored
Nakupigia simu sasa hiviHebu jongea pwani hii ya brt
Bora ...katetewa hapa
Mimi nimeambiwa najigonga 😀 😀 😀 sijui wewe pacha wake watasemaje .Weee ana mashushu kama yote
GENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
[emoji123]Nakupigia simu sasa hivi
Ha ha haa😋😂😋😂Mimi nimeambiwa najigonga 😀 😀 😀 sijui wewe pacha wake watasemaje .
Labda ana kutaka. Huyo bibi ni mkora kama wakora wengineUnamuonea mstaarabu sana halafu anachangamsha na kuleta mawazo fikirishi
Jamaa ni mental casehao usalama wa taifa hawana kazi yakufanya wakamate zezeta?
hahaha ndovile mimi niko huku mu beni niko nafanya mukazi mingi fasi hiiWewe mutu ya Congo, mutu ya kutomboka uko bien