Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Nimesha hisiAnavuta ile kitu inaitwa cha arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesha hisiAnavuta ile kitu inaitwa cha arusha
Pale stationery karibu na polisiSehemu gani?
Hapana tukutane gardenPale stationery karibu na polisi
Pale garden ni mpaka jioni, labda saba 7 pale kwa bachutaHapana tukutane garden
Siyo kawaida yake kuwa na hali hii..Nimesha hisi
[emoji3][emoji3]Ukiona hivyo ujue siyo yatima wanajua baba zao tumo humu kuwasaidia. Kunakamsemo yatima hadeki
Duh! Some how?Alonso 14
Navuta pumzi tu nothing else.Lol.
Hamna kakitu unavutaga kweli?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hao wananidekea mimi niweke pembeni yao kisha unizungushie bodmas aka bracket.
Huyu mtoto wa kinyerezi dishi lake lishayumba hana tofauti na yule mwalimu kisanduAlonso 14
Sawia kabisa... ila ntachunguza kipato chako nijue kama umeenda kwa fedha halali...na upitishe mafaili yao niende nayo vakesheni ya siku 28 ulaya nitagharamia kila kitu.
Au kalipiwa.Sawia kabisa... ila ntachunguza kipato chako nijue kama umeenda kwa fedha halali...
Msema kweli ni mpenzi wa MunguAu kalipiwa.
Na ukweli utamuweka MTU huru zaidi.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu