Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania

kama ssh hayupo uzi wako ni batili
 
Hawana la maana zaidi ya kujipendekeza na kulinda teuzi zao.

Maazimio ya Beijing conference ilikuwa ni kumnyanyua mwanamke katika nyanja zote za kijamii, hivyo basi walichotakiwa kufanya ni kutuonesha jinsi gani au kwa kiasi gani walivyopiga hatua kwa huo muda wa miaka yote 30 kwenye kuwanyanyua wanawake.

Hapa walipaswa kutuonesha au kutuambia ubunifu mbali mbali uliofanywa na wanawake ambao umeleta tija kwa jamii(significant impacts), jinsi gani tulivyokuwa na watalaamu wengi wanawake katika kada mbali mbali kulinganisha na miaka ile na mwisho kabisa jinsi gani walivyofanikiwa kupunguza ukatili na vikwazo vyote vya maendeleo ya mwanamke.. halafu baada ya hapo ndio waweke hao notable women waliocha remarkable impacts kwenye taifa letu akiwemo na huyo Samia mwenyewe kama kielelezo cha maazimisho.

Sasa wao wameamua kuifanya kuwa siku ya Samia, hawako serious hao.
 
Braza Samia hana kizuri ataacha Tanganyika zaidi ya kuhamishia wamasai Handeni. Dkt. Gwajima D TUSAIDIE KUMWAMBIA SAMIA TUNATAKA KATIBA MPYA. USIKAE BARAZANI UKAWEKA AKILI KICHAWA NA KUSIFIA TU..... Mwambie mama Samia akitaka legacy nzuri aache KATIBA sivyo atakuwa kama Kikwete tu.... Magufuli tutamkumbuka, Nyerere tutamkumbuka, lakini Kikwete, Mkapa na Mwinyi hakuna mtu atawakumbuka. Samia aambiwe.
 
Na Samia mwenyewe ni rais wa mpito aliyerithi kiti hajachaguliwa na yoyote.
 
Hujambo? Mambo yote utayaeleza siku moja kwenye ukurasa mmoja? Subiri sasa siku za maadhimisho zianze ufuatilie vipindi vyote na takwimu zote uje na kwenye maonesho. Kwa kuwa waratibu wote wa kisekta ndiyo wanaandaa matokeo Sasa ya taarifa za Kila sekta kuhusu wanawake walikotoka na walipo. Ahsante Sana
 
Sijambo muheshimiwa waziri, shikamoo.

Haya asante kwa kutilia maanani comment yangu, nasubiri hiyo siku nione hayo unayoniahidi na nitahudhuria.
 
Katika hiyo Orodha lazima uongezee jina la Mama Samia Suluhu Hassan,tunu a lulu ya watanzania na mama wa Afrika
Raisi wa kwanza Mwanamke wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,na ukanda mzima wa Afrika Mashariki
 
Hii orodha kukosekana muheshimiwa Samia ni sawa wakati mwingine si sawa.

CCM wawe makini mno kwenye uchaguzi wa viongozi na wagombe wao kitaifa nk.

Inaonekana wakati mwingine wanarush sana kuleta mtu sahihi kwa sababu za Rushwa, upendeleo undugu nk. Rushwa ni adui wa haki

Nimefurahi sana kumuona Muheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D
 
Sa100 hafai kuwa among them.

Labda kwa sababu unatumia akili yako na device yako kuandika hapa ndiyo utatulazimisha kumsoma ktk hii list but huyo hata kuwashikia tu porch zao kwa wakati wao asingeteuliwa.....amini kwamba!
Mikono yake imejaa damu
 
Huyo Helen Kijosimba ni wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…