Orodha ya wasanii manyoka

faysal

Senior Member
Joined
May 14, 2013
Posts
102
Reaction score
31
Kwa kuwataja na kuwaanika hadharani nafikiri itasaidia,kwani wengi wanafanya siri na kuja kuharibikiwa mbeleni
1.LORD EYEZ
2.DAZ BABA
3.CHID BENZ
4.Q CHIEF
5.TEMBA
6.NATURE
7.BANZA
8.DIOF
9.TID
10.BLUE
11.IBRA DA HUSTLER
12.BU NAKO
13.CHRISTIAN BELA
14.MABOVU
15.mox
16....
Wengine wajazie list,wasipoacha kama wenzao ray c na langa suti zitawatosha
 
Nani anawauzia tukawakamate?

haiwezekani kwa serikali hii sikivu mkuu!
Mkubwa wa kaya mwenyewe anawaogopa,
polisi ndio rafiki zao!
Nilimwona polisi anakemewa na jamaa mmoja ambaye ndo anafanya hii biashara mpaka roho iliniuma..dah
tushukuru kwa yote
 
kaka voda wa kinondoni
na dogo hamidu ndio wanaowauzia na polisi wanawajua
 
Yaani saizi usanii ni janga la kitaifa kutokana na wengi kugeuka kuwa nyoka kwa hela kidogo tu waipatayo.
 
kaka voda wa kinondoni
na dogo hamidu ndio wanaowauzia na polisi wanawajua

huyu kaka voda mwenyewe anajiita milionea,yan polisi wanampgia magoti!
Hao jamaa wa oysterbay wanachukua hela ya mboga kila siku kwa hawa jamaa,yan wanaombea biashara hii iwepo milele kwa ustawi wa familia zao!
Kuna askari mmoja nae wa oystrby ameanza kuubwia,nilimkuta anadonoa mitaa ya msisiri kinondoni
 
Dah! Unanikumbusha mchizi wangu Mark IIB aka Simba...poda nomah!
 
Kwa kifupi serikali imehalalisha.Pengine kifo cha Ngwea kitaleta ujumbe flani.
 
gamba kigwangala ameshasema hapa kua yeye akitaka kumtibu mgonjwa ana tibu chanzo kwaiyo tuangalie kwanza PUSHER AND NOT PULLER.
 
Mkuu usiwasahau;
1.Rado
2.coin
wote hao wapo kundi la viraka(kiraka)
3.kakaman huyu kashaharibikiwa kabisa!.
*mr blue anaye mharibu ni yule bonge wa magomeni anaye penda kumwendesha blue kwenye ile gari yake nyekundu akilewa. Wale vijana wote wanaouza maji kwenye foleni migomigo asilimia kubwa wanauza sembe.
4.rafiki yake ngwair dark master.
5.mack dizzo
6.m to the p
7.diof. wapo kibao. hapo wacheza dance hawajatajwa. hapa ni wale wanao karibia kupotea. mia
 
Wakali wa ukweli hawavuti unga!yule TiD ni boya sana hawezi kuwa mtoto wa kinondoni yule atakuwa mtoto wa moscow magengeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…