Orodha ya wasanii manyoka

Orodha ya wasanii manyoka

sembe noma.!!!!!!!!!

wajanja hawali unga zaidi bangi.!!!
 
Haya yonatokea kutona na sisi vijana kumsahau Mungu kutokumuheshimu na kutokumuogopa
pia unamuomba Mungu akunyanyue ukiwa superstar unaona tayar kama malengo yashatimia kwhyo hela znakuwa nyingi unaona hazima matumiz
unaona bola uanze maisha ya anasa ndio maana wasanii wetu wa bongo 10 kwa m1 kusikia et kafunga Ndoa coz anaona ndoa itambana hatakula maraha!!
So far
Wote tungemjua,kumuogopa na Kumheshimu Mungu lazma ingekuwa No drink! No smke! No drugs!!
leo pombe unamuondoa msanii wetu wa 2!!
Mchana mwema!
 
Sasa kama orodha ni ndefu hivyo yule aliyepiga picha na Ray C kuwa amemtibu awachukue na hao akawatibu.
 
faysal I'm not supporting drugs here but if drugs weren't illegal none of these guys would have done what they did(I mean those pushaz/masadali/junkies)and people wouldn't die every day because of it.if you let people do as they wish with their bodies let them.The war on drugs just costs trillions of money/dollars.I don't see why they won't let people get addicted and die of Heroin over dose if that person chooses to do heroin...its the individuals problem,not the goverments.We have bigger problems like Umaskini,Ufisadi and ----ing global warming.bila kuisahau CCM.

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

"absolutelly"
 
Last edited by a moderator:
Nguvu kazi ya taifa inapotea hivihivi kilichobaki ni kuwaombea maana angekuwa ndugu yako usingemnyooshea kidole bali ungetafuta mbinu za kumsaidia, by the way hatuna mamlaka ya kuhukumu maana na sisi hatujakamilika. Mungu akiguse kizazi hiki kinachopotea ili kiweze kumrudia yeye.
 
faysal Mh Temba umemsingizia

huyu jamaa nina uhakika 100% na usidanganyike na mwili ngoja wakati utaongea,
2ombe uzima tu!
Nimemwona msisiri kinondoni yeye na yule 20% wakichukua vikete kwa mshkaji wangu,sio chini ya mara 4!
Kingine huwezi kutambua wanapoanza mpk uwaone kwa macho ila wanapochoka ndo wengi wanajua jamaa teja!
Hakuna aliyejua kama chilla alikuwa ana2mia mpaka alipokuja kutangaza mwenyewe!
Usiamini kwa kuona jamaa ana body nzuri,asipoacha atapukutika atakuwa kama bi.kidude ooh R.I.P
 
Last edited by a moderator:
Usanii na uteja ni zaidi ya ujuavyo!
Asilimia 93% wanatumia dawa za kulevya mchanganyiko wa bangi,cocain,heroen n.k...6.01% dah!wapo hadi gongo,mataputapu
 
Huyu jamaa kuna siku nilipanda naye daladala ya Segerea alikuwa na mwanae. Yaani sikuamin kama ni Daz Baba ninayemjua mimi na nilimuangalia zaidi ya mara 5 kwa jinsi alivyochoka, mchafu na huwezi amini kama ni msanii mkubwa kwa jinsi alivyokuwa rafu. Kwa bahati nzuri tunafahamiana sana na tuliongea mengi ila kubwa anadai now yupo chuo cha sanaa Bagamoyo anasoma. Inauma na inasikitisha sana maana kwenye wasanii 10 basi 9 ni mateja.
Jaman na daz baba yupo wap?
 
Back
Top Bottom