Orodha ya wasanii manyoka

Orodha ya wasanii manyoka

Fanani wa hard blasters.

huyu kila siku nakutana nae mabibo farasi karibu na loyola,keshadata siku nyingi sana muda wote ukikutana nae utakuta kashika bobo lake la maji ya uhai.
 
Wanaitwa nyoka au NYUKI WA KWENYE MASHINE.
 
Watu mmekomalia hapa kuwataja wala unga na kupoonda mnajiona nyie malaika. Cha kusikitisha wengine mnaongea kwa kejeli kama vile mnafurahia matatizo yao. Anyway ni asili ya binadamu kupotezea kama tatizo halimgusi personally. Ni mtazamo tu dont take it personal.
 
Huyu sina mashaka naye 100% anatumia Unga uliokobolewa!
afande_sele4.jpg

Huyo ni babaake Tunda Jema.,na hapo anaicheza Karata Dume.
 
Kwa kuwataja na kuwaanika hadharani nafikiri itasaidia,kwani wengi wanafanya siri na kuja kuharibikiwa mbeleni
1.LORD EYEZ
2.DAZ BABA
3.CHID BENZ
4.Q CHIEF
5.TEMBA
6.NATURE
7.BANZA
8.DIOF
9.TID
10.BLUE
11.IBRA DA HUSTLER
12.BU NAKO
13.CHRISTIAN BELA
14.MABOVU
15.mox
16....
Wengine wajazie list,wasipoacha kama wenzao ray c na langa suti zitawatosha

mimi nadhani tuanze kuwataja wauza unga kwani wao mdio chanzo,
 
Hivi zile harakati za HIP HOP bila madawa inawezekana, ziliishia wapi?
 
Watu mmekomalia hapa kuwataja wala unga na kupoonda mnajiona nyie malaika. Cha kusikitisha wengine mnaongea kwa kejeli kama vile mnafurahia matatizo yao. Anyway ni asili ya binadamu kupotezea kama tatizo halimgusi personally. Ni mtazamo tu dont take it personal.

wewe utakuwa teja tu.
 
kaka voda wa kinondoni
na dogo hamidu ndio wanaowauzia na polisi wanawajua

"wanao-snif na ku-smoke mie ndio nawa control"-Nyandu Tozi Dogo Hamidu.

"AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA WAAMBIE WADOGO ZAKO WAACHE PODA WALE MMEA"-LANGA
 
Back
Top Bottom