hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,442
Wadau habari...
Kuna waimbaji na waigizaji ambao ilifika kipindi wakaamua kuachana na kazi zao hizo na kuamua eidha kuendelea na kazi hiyo kwa njia ya kuridhiwa na Mola (mfano qaswida, gospel na maigizo ya stara na staha) au kuacha kabisa na kuamua kujiingiza kwenye shughuli nyingine halali za kimaendeleo
Taja unaemjua, alichokuwa anafanya na anachofanya kwa sasa
Mimi nawajua wachache mfano;
-Cat Stephens, mwimbaji ambaye alikuja kusilimu (kuwa mwislamu) akajiita Yusuf Islam kisha akaanza kuimba qaswida
-Saigon, aliyekuwa msanii wa rap Tanzania ambaye kwa sasa anatangaza kwenye redio imaan (redio ya dini)
-Masanja Mkandamizaji, aliyekuwa mwimbaji ambaye kwa sasa mchungaji