Orodha ya wasanii walioamua kuachana na sanaa na kumrudia Mola Muumba

Orodha ya wasanii walioamua kuachana na sanaa na kumrudia Mola Muumba

Ni stori ndefu mkuu.Ila alipoamua kuacha muziki na kumrudia MUNGU alipokelewa na watu ambao walimwingiza ktk biashara,ambapo baadae kuna ndugu yake mmoja ktk hiyo biashara alimtapeli na kumdhurumu Mali zote
Huyo ndg bado anaishi?
 
Mkuu🤔🤔..😅😅

Au ni wewe nini ndy umemdhurumu Mzee yusuph? Alafu unanichora,maana maswali yanaongezeka Tu
Yaani nivute mpunga huo wote labda 500ml nipate na mida wa kuvinjari jf?
Ningekuwa busy hata mda wa kula usingekuwepo ntakula nikiwa nadrive
 
Lasaa carlito, Beni Nyambo wote wa DRC, siku hizi ni wachunga kondoi wa Bwana
 
1. Suma Lee,now anaomba qaswida

2. Dulayo,yeye kaacha kuimba kawa chapombe

3. Mzee Yusuph aliacha kuimba akamrudia MUNGU wake,akaamua kujiingiza kwenye biashara Ila akapigwa tukio na ostaz mwenzie ambalo likimfanya afilisike na kuanza kupanda daladala na akauza nyumba zake. Mambo alipoona yamekuwa magumu zaidi akaamua kurudia kuimba,akarudi na slogan yake 'Mzee anarudi mjini ' so now amerudia tena mziki

4....
Kwa hiyo Dullayo kuwa cha pombe ndiyo kumrudia Mungu🙄
 
Crystal bassette
alkua mcheza pono maarufu Sana duniani, alikubuhu kwa kuhimili BBC za hatari hatari, alikua anamwaga uno na kutoa ndogo Kama Hana akili nzuri vile[emoji28]

Chakusikitisha
Eti alikuja kuachana kabisa na tasnia na kufungua kabisa kanisa lake mwenyewe.

Sikuhizi Ni anajiita mchungaji,
yaani ni PASTOR[emoji116]View attachment 2277612View attachment 2277613View attachment 2277614View attachment 2277615View attachment 2277616View attachment 2277617
Hawa ndio wakikwambia "nimeokoka" unaona kweli kaoka kutoka kwenye kitu gan
 
Crystal bassette
alkua mcheza pono maarufu Sana duniani, alikubuhu kwa kuhimili BBC za hatari hatari, alikua anamwaga uno na kutoa ndogo Kama Hana akili nzuri vile[emoji28]

Chakusikitisha
Eti alikuja kuachana kabisa na tasnia na kufungua kabisa kanisa lake mwenyewe.

Sikuhizi Ni anajiita mchungaji,
yaani ni PASTOR[emoji116]View attachment 2277612View attachment 2277613View attachment 2277614View attachment 2277615View attachment 2277616View attachment 2277617
Mungu anahuruma sana na sisi binadamu na maranyingi anatusamehe hata makosa yako yawe makubwa na mabaya kiasi gani ukirudi kwake kwa kujutia kunyenyekea na kutubu kutoka rohoni unapata second chance tujitahidi sana kutubu endapo tutaingia majaribuni, make sure hauja fumba macho yako kulala kabla haujatubu sababu haujui siku wala saa itakapo kua mwisho wa pumzi yako hapa duniani. mlango wa neema ukifungwa hakuna kutubu tena.
 
Loon wa bad boy kawa ustadhi
Mase wa bad boy kawa mchungaji

Pale bad boys usipojisalimisha kwa Muumba wako bas ujue utarejea kwake punde tu au jela sijui lile lipafdad limekubaliana nin na shetani
 
Back
Top Bottom