Orodha ya wasanii walioamua kuachana na sanaa na kumrudia Mola Muumba

Ni stori ndefu mkuu.Ila alipoamua kuacha muziki na kumrudia MUNGU alipokelewa na watu ambao walimwingiza ktk biashara,ambapo baadae kuna ndugu yake mmoja ktk hiyo biashara alimtapeli na kumdhurumu Mali zote
Huyo ndg bado anaishi?
 
Mkuu🤔🤔..😅😅

Au ni wewe nini ndy umemdhurumu Mzee yusuph? Alafu unanichora,maana maswali yanaongezeka Tu
Yaani nivute mpunga huo wote labda 500ml nipate na mida wa kuvinjari jf?
Ningekuwa busy hata mda wa kula usingekuwepo ntakula nikiwa nadrive
 
Lasaa carlito, Beni Nyambo wote wa DRC, siku hizi ni wachunga kondoi wa Bwana
 
Kwa hiyo Dullayo kuwa cha pombe ndiyo kumrudia Mungu🙄
 
Hawa ndio wakikwambia "nimeokoka" unaona kweli kaoka kutoka kwenye kitu gan
 
Mungu anahuruma sana na sisi binadamu na maranyingi anatusamehe hata makosa yako yawe makubwa na mabaya kiasi gani ukirudi kwake kwa kujutia kunyenyekea na kutubu kutoka rohoni unapata second chance tujitahidi sana kutubu endapo tutaingia majaribuni, make sure hauja fumba macho yako kulala kabla haujatubu sababu haujui siku wala saa itakapo kua mwisho wa pumzi yako hapa duniani. mlango wa neema ukifungwa hakuna kutubu tena.
 
Loon wa bad boy kawa ustadhi
Mase wa bad boy kawa mchungaji

Pale bad boys usipojisalimisha kwa Muumba wako bas ujue utarejea kwake punde tu au jela sijui lile lipafdad limekubaliana nin na shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…