Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya

Kalapina baada ya mstari wa mbele", "Umoja ni nguvu" nayo ilikimbiza Sana mtaani. Manzese Crew kabla ya "riziki popote" walikimbiza Sana na Ile "Kula Kona" huwez kuisahau kirahisi hivo.
Bata, Ahmada umelewa, Pole samaki, Mduara, hizi zote zilikuwa hits kwa Offside Trick.
K Bazil kabla ya Ridhiki alitamba Sana na Ile "Chozi ulidondosha"(nilikutenda visivyo Sharon)
OCG kabla ya Akwelina tulimjua kupitia "kazeze"
Shuga mamy ya Mack Dizzo haikuwa hit kuliko "Nilikupenda" humu aliimba na Mr Paul, halafu kuna Ile "jumba bovu limeniangukia" kaimba na Banana Zoro.
O Ten baada ya 'nicheki' alikuja na "mkuu wa mkoa" na akaturusha na "Akipendacho binti"
Bong Dot com na Ring on It hazikuwa na tofauti zote zilikuwa Kali,
Hizo☝️zitoe kwenye list yako ila muongeze👇

Complain - sababu bomba
Estaam- sikiliza wimbo
Jiti- ndoto Tata
Akili - Regina
 
Huyu yupo ila umaarufu ndo umepungua , anapiga sana show za live ! Baada ya Gangnam style alitoa Gentleman ila haikwenda viral kama ya kwanza anaitwa PSY.
Ila upande wa wenzetu mambo yako tofauti hata akifulia vitu vyake vinaendelea kumlipa.
Kuna dogo alitoa ngoma ya Kilomita 6 sijui ni nani nae akapotea 😂😂
 
Sogea sogea -Ray 🤌🫡
K lyn-crazy over you🎶🎶🤌🫡
Daz nundaz-nipe Tano🎶🎶🫡



Kuna ile ngoma inaimba "kikuku cha mama Roda kimekula mtama wangu....." Msiisahau... Ilikuwa hitsong na yenyewe .✍️✍️📍

Mziki wa Tz unaweza chukuliwa poa , ila ukija sehemu kama Kenya auu Uganda ndio utajua industry ya mziki wa Tz ni mkubwa kiasi gani. Tusichukulie poa mziki wa Bongo
 
Mez B nadhani alishafariki huyu jamss
 
Kali p ana ngoma zaidi ya tano na zote ni Kali..

Umekaa vibaya, tumbo joto, mama kibonge, full kubembea , jamaa ana ngoma nyingi Kali.. kwa Sasa ni ustaaz gongolamboto.

Kuhusu o_ten ana nyimbo nyingi Kali sana TU..

Sagna pia ana ngoma Kali nyingi nyingi TU mganga, ningojee
 
Kumbe yuko Dar.
Hivi ile lafudhi aliyoitumia kwenye nyimbo yake ya imekaa vibaya ule ndio uongeaji wake au aliigiza tu?
 
Mez B sijamuweka kwenye list kwakua ana hit song nyingi

Kikuu cha mama roda
Kama ft Ray C & Noorah (Baba style)
Nimekubali ft Mh temba

Pia jamaa alikua noma kwenye chorus

Karata dume - Afande sele ft Mez B
Naahidi - Prof J fy Mez B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…