Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya

Pnc ft mr blue sijui inaitwaje ile ngoma
PNC ametoa hit nyingi

PNC ft Mr blue -Mbona
PNC - Nalia
PNC -Imebuma

Bado kwenye kolabo alikuta mbaya sana, wakati akiwa kwa ostazi juma na musoma kabla ya kumpigia magoti walitengeneza ngoma kali sana na Dogo janja

Dogo janja ft PNC - Moyoni
 
OCG alishatoa "KAZEZE" na ili hit
 
Kuna wakongwe wengine walijiita Solid Ground family.
Solid ground familii ndani ya Bush party,
Solid ground familii ndani ya Bushparty walikuwa balaa sana hawa jamaa mistari yao kwenye hii nyimbo ilikuwa inachekesha sana na hata video yao pia ukiiona wakina muogo mchungu wakiwemo ndani ukiwaona lazima ucheke.
 
Juma Kakere-pole Kwa Safari
Bob Rudal-nimekuchagua Wewe
Bob Haisa-unisamehe
Bizman-nipe Muda, Ametoroshwa.
Aziz Azion-nkumira Omukwano
V2k-Nasonga Mbele
Cliff Mitindo Ft Mo Music-Natamani
Arusha Boy Gentreez Ft Young Dee Ft Belle9-chapaa
Alpha Ft A.Y-Songa Mbele
Nisher-Nini
Filbert Kabago
Ainea Ft Mr Blue
Best Naso Mkaa Wa Enzi
NasB-ng,ombe Wa Maskini Hazai, Mkaidi
Mswaki-open Letter
Nash Mc-tabia
Azma Mponda Ft Belle9-astara Vaste
KadGo Ft Stereo-sitokata Tamaa
Pam Daffa Ft Mensen selekta-ninamtaka Wangu Beby
Suma Mnazaleti-sepa
Neddy Ft Ommy Dimpoz-usiende Mbali Nami.
Jokate Ft -nataka Leo Leo
Vumilia-tatizo Ni Umaskini
Lady Mariam-tinda Tine(wa Uganda)
Stella Mwangi-hello
Gosby-
Cyrill Kamikaze-mmenimiss Sana Dar Es Salaam
Nakaaya-Mr Politician
Nyasi-kumbuka Mawazo
Nyota Ndogo-watu Na Viatu

Kuna Huyu jina limenitoka Enzi Za DjaroArungu Wa Tbc Nyimbo Ina Lyrics"Mimi nampenda na yeye ananipenda, kifupi tunapendana waala hatutoachana"......ndoto zetu ni mbele kwa mbele
 
Sikiliza na hizo pia
 

Attachments

Mkuu uko vizuri sana list imenyooka sana nlivoona umemtaja

Nas Business
Mswaki

Nimekupa respect kweli mziki wa bongo unafuatilia
 
"Baby usimuache PNC..
cheki analia kwenye verseee...
Baby usimmake crazy..
noma noma nomaaaa...." x6

PNC ft Mr Blue - Mbona.
🙄🙄 eeh! Mimi hapo ulipoandika "baby usimmake crazy " nilikuwaga naimba "baby una m-drive crazy "🤣🤣 tena naimba kwa sauti.
Huu uzi najichekea mwenyewe. Uko juu nimekutana na ring on it mi nilikuwa najiimbia "linganishi"🤣🤣🤣🤣🤣
Wallah nimejifunza, situkuja kuimba sauti tena. Hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…