Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya

Mbona kuna wasanii wengi na wana hit zaidi ya moja kwenye list yako
Dan msimamo
Iveta
Roho saba
N.k
 
Kapaina mtoe hapo hiyo mstari wa mbele ni utopolo.. Watu walkuwa wanamsifia kwa kumuogopa
 
Noma
 
Sawa,
Ila kwa Mac Dizzo umechemka. Jamaa alitoa hit kibao tu.
1) Tabibu
2) Jumba Bovu
3) Mja wako
4) Sugar Mummy
5) Tabibu Remix (Inaniuma Sana)
 
We jamaaa Mac dizo ananyimbo Kali

Bai shoo ft wale unique sisters
Mpenzi tabibu sogea karibu ft q chief
Eeh mungu wangu mjawako ft nani sijui
Nk

Off side trik
Wanangoma inasema nyama ya Bata ni tamu ya nyuma Ina mafuta

Pia wa track nyingine nimesaha
 
Alicom. selina
 
Nimependa huu uzi umepanga kwa timeline na wasanii wengi ni kweli walifanya one hit wonder ila wengine kama Mataluma walijitutumua hadi 2 mfano Wimbo wake wa kariakoo ulikuwa ni hit na wengine wacgache hapo
 
Nimependa huu uzi umepanga kwa timeline na wasanii wengi ni kweli walifanya one hit wonder ila wengine kama Mataluma walijitutumua hadi 2 mfano Wimbo wake wa kariakoo ulikuwa ni hit na wengine wacgache hapo
Mataluma ana ngoma kama tatu nzuri

Mama mubaya
Kariakoo
Kasindela
 
Kwa Amini na Sajina nakupinga kwa nguvu zote. Baada ya ngoma hizo bado waliendelea kutoa hits na zilibamba mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…