Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Watoto wadogo ndio hawawezi kumuelewa Sugu.
Sugu is the most successful Rap star in Tanzania. He is the G.O.AT
Watoto waliozaliwa miaka ya juzi pia kule US hawamuelewi Ice Cube, Nas na malegend wengine wa zamani.
Acha kumchomeka sugu level za kina Nas na Ice Cube.
SUGU HAJUI, hana Talent.
 
Hapa wasanii wengi watakuwa hawana vipaji,
Kina Solo Thang, Balozi Dola Soul, Mr. Paul, Inspekta Haroun, Afande Sele, Ferouz, Daz Baba, Joslin, Sister P, Roho 7, Nuruel
Daah hii package uliyoitaja hapa ni kiboko.
 
Mkuu Jafarai siyo wakutetewa kabisa hana uwezo wowote ngoma ndiyo hiyo tu alikuja kufanya na ushuzi mwingine et wali nazi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaambia jaffarai hana uwezo afu wana panic

Ndo maana sahv kaamua kubali na car wash yake
 
Acha kumchomeka sugu level za kina Nas na Ice Cube.
SUGU HAJUI, hana Talent.
Sugu mweupe kichizi hajui muziki kabisa ....yeye anajua kuhusu muziki ila muziki wenyewe hajui

Ukimuuliza sugu kuhusu history ya bongo fleva hiyo anaijua vizur
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaambia jaffarai hana uwezo afu wana panic

Ndo maana sahv kaamua kubali na car wash yake
Nakumbuka hata enzi za Fish Crab kuna baadhi ya watu walisema Lamar hana kipaji wala ubunifu kwenye music production, beat zinafanana na anaweka makelele (sound tag). Akamua kufanya refixes kibao Na sasa ameamua kujikita kwenye car wash na kupika pilau. Sijui nae hana kipaji
 
Yeah, umenikumbusha jambo. Ukisiliza ngoma ya Wateule inaitwa WABAKIAJI au NINGETAWALA kama skosei Jay Moe alikoroma sana mule.

Lakini baadae alivyoanza solo project nikawa kama sielewi, nkajiuliza huyu ndo yeye au. Maana nlishamzoea Jay Moe anayekoroma.

Baada ya hapo ni hit juu ya hit hadi akawa huyu Jay Moe wanaomjua wengi.
 
Acha wivu bhana sio poa hivo, Sugu ni habari ingine ndio baba wa taifa wa muziki wa kizazi kipya.
 
Acha wivu bhana sio poa hivo, Sugu ni habari ingine ndio baba wa taifa wa muziki wa kizazi kipya.
Ni kweli tunampa heshima hiyo ...lakini pia tunatambua hana uwezo wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…