Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Nilichoona mtoa mada hapendi hiphop ngumu. 90% ya wasanii uliowataja ndio huwa nafuatilia sana shughuli zao. Mfano Bou nako namuelewa, nimekariri nyimbo zake kuliko ye mwenyewe..
 
Unazingua sana.

Nimekuambia namjua Saleh Jabir wa Ice ice baby,

ila nimeshangaa mtao mada kumtaja huyo wa EFM.

Fuatilia conversation yetu kwa makini utaelewa tu.
Hili jamaa limelewa. Usilijibu tena. Limekula kushabu za masasi
 
Dogojanja
 
 Bila Suma Mnazaleti futa tu huu uzi

kama unabisha nenda YouTube kasikilize bosi kasema na freestyle session ngapi sjui.
 
Zamani ukienda kurekodi kwa majani hata kama una hela ila unaimba utopolo unaweza ukala makofi.
 
Kama SHILOLE na SNURA hawapo hiyo list ni batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…