Orodha ya WATAKAOUAWA

Hizo mbinu mnazotaka kuzitumia kutatua matatizo hazitafanya kazi kwa kuwa hao mnaotaka kuwawajibisha ndio wameshika mpini nanyi mmeshika makali
Tukianza kuuwana kiholela nchi itasambaratika kwani kila siku utasikia kikundi furani kimelipiza kisasi kwa jamii furani,sasa katika hali kama hiyo hatutakuwa na nchi tena na yale malengo yetu ya kuwa na jamii yenye maendeleo makubwa ya kiuchumi na ustawi wa jamii,itakuwa ni ndoto kuyafikia!!ebu angalia somalia walioshindwa kurestore peace and stability for more than 10 years.Hii yote inatokana na kulipiza visasi,naomba tusiende huko mkuu!!ipo siku tu mambo yatakaa vizuri na tutafikia malengo yetu!!
 
mh!kuuana tena!watabaki watakatifu kama wapo,,lol
 
sasa mbona hatabak mtu! chakufanya ni kuwasamehe na ku2mia sheria zilizopo, na wanaweza kubadilika wakawa wa2 wazur kuliko unavyofikiria.
 
@tausi@mtm,bt mwandishi wa hii topic hana ubaya wala hana tatizo ,may be nyie ndo hamjamuelewa vizuri,yeye amesema orodha ya watakaouwawa...cha kufanya mmngejiuliza watauwawa vipi?kifo au ktk nyadhifa zao?yeye hakutamka kuwa orodha ya watakaotolewa uhai ni hii hapa jamani,hapo angekuwa anaingilia kazi ya israel mtoa roho.pitieni jukwaa la lugha mkajifunze tungo tata.




naongeza list😱rodha yako ongeza na wale wote wasioelewa topic za watu kama kina tausi na mtm...
 
Kwenye hizi list zote kuna mtu atapona kweli?? labda watoto wadogo wasiojua dunia, vinginevyo hata mimi na wewe tunahusika kwenye hii list kwa njia moja au nyingine. watch out.
 
Nambari wani kuonja shaba lazima awe Bujibuji kwa kuwa na mawazo ya kikatili!
 
Nani atabaki? Nimeona nauwawa sehemu 2 lol
 
12.vyombo vya habar vnavyokiuka utangazaji yan vnachochea mabaya

nimeipenda hii maana hawa ndo chanzo cha matatizo. Kupandikiza chuki dhidi ya watu, kupindisha hoja kwa maslahi binafsi.................
 
naona JF inakolekea siko.Unawaza kuuwa watu anza kujilipua mwenyewe.sheria zipo na hakuna alie juu ya sheria. Hivi mtu unakuja na hoja ya kuuwa unawaza nini akili mwako? kumgwaga damu?? sio kila mshitakiwa au mtuhumiwa ana hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…