TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Tukianza kuuwana kiholela nchi itasambaratika kwani kila siku utasikia kikundi furani kimelipiza kisasi kwa jamii furani,sasa katika hali kama hiyo hatutakuwa na nchi tena na yale malengo yetu ya kuwa na jamii yenye maendeleo makubwa ya kiuchumi na ustawi wa jamii,itakuwa ni ndoto kuyafikia!!ebu angalia somalia walioshindwa kurestore peace and stability for more than 10 years.Hii yote inatokana na kulipiza visasi,naomba tusiende huko mkuu!!ipo siku tu mambo yatakaa vizuri na tutafikia malengo yetu!!Hizo mbinu mnazotaka kuzitumia kutatua matatizo hazitafanya kazi kwa kuwa hao mnaotaka kuwawajibisha ndio wameshika mpini nanyi mmeshika makali