Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaonekana yamekukuta nini?Wale wote wanao kula uroda na ma house girl / house boy wao!!!!!!!!!!
hili wazo la kuuwa si liungi mkono ila wahusika wa dowans na waliowasaidia naunga mkono wanyongwe
wanaoiba waume za watu pia nao lazima wauawe.
11.wanaochit wapenz wao
na wanaoiba wake za watu pia.......!!wanaoiba waume za watu pia nao lazima wauawe.
Ahahahahaaah!!walimu wote wanaotunga mitihani migumu.
walimu wote wanaotunga mitihani migumu.