MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Ndugu Mtanzania siku ya leo tutaoa Taarifa za watu waliopita mitaani kufuatilia watu wa CCM na wasio wa CCM kwa ajili ya CCM katika kundi hili baadhi yao wako Tayari kuuona CCM inakuwa madarakani hata kwa Damu yako.
Leo hii kwenye uzi huu katika muda fulani, tutaweka majina hili uwakumbushe kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao, kutokupiga na kuwaambia watu wao hawawezi kushindana na Wananchi.
Leo hii kwenye uzi huu katika muda fulani, tutaweka majina hili uwakumbushe kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao, kutokupiga na kuwaambia watu wao hawawezi kushindana na Wananchi.